-
UN: Askari 14 wa kulinda amani Congo DR wameuawa
Dec 08, 2017 23:03Askari 14 wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa wameuawa na wengine 40 kujeruhiwa katika shambulizi lililofanyika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Kabila: Congo DR inaelekea kwenye uchaguzi wa wazi na wa amani
Sep 23, 2017 12:29Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa nchi hiyo inaelekea kwenye uchaguzi wa kuaminika, wa wazi na wa amani.
-
UN: Elfu 80 mashariki mwa Congo walazimika kukimbia vita na machafuko
Jul 11, 2017 23:35Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu wapatao elfu 80 wamekimbia makazi yao huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na vita na mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la serikali ya nchi hiyo na muungano mpya wa makundi ya waasi.
-
SAUTI, Hatimaye waasi wa Ninja wawaachilia huru abiria wa mabasi mawili waliyoyateka, huku wakiwanyang'anya mavazi yao
May 29, 2017 10:45Hatimaye Waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville wamewaachilia huru raia waliowateka nyaraka siku chache zilizopita baada ya juhudi za jeshi la nchi hiyo za kuwaokoa kuambulia patupu.
-
AI yapinga tuhuma za serikali ya Congo dhidi ya kiongozi wa kambi ya upinzani
Feb 13, 2017 03:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limepinga tuhuma zilizotolewa na serikali ya Jamhuri ya Congo dhidi ya Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini humo.
-
Jamhuri ya Kongo nayo inajiandaa kujiondoa ICC?
Nov 04, 2016 12:20Wimbi la nchi za Afrika kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC limeendelea kushuhudiwa barani humo huku vyama vya siasa katika Jamhuri ya Kongo Brazaville vikiitaka serikali ya nchi hiyo ifuate mkondo huo.
-
SAUTI: Hatimaye serikali na waasi nchini Kongo DR wakubaliana kuunda serikali ya mseto kuelekea uchaguzi wa raia 2018
Oct 18, 2016 13:19Hatimaye na baada ya muda mrefu wa vutanikuvute ya mazungumzo ya kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, serikali na upande wa upinzani zimetiliana saini ya kumaliza hali ya mchafukoge nchini.
-
SAUTI: Mfahamu Pasta, Frédéric Ntumi anayeongoza kundi la waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville dhidi ya
Oct 02, 2016 23:46Mapigano yameendelea kushuhudiwa nchini Jamhuri ya Congo Brazzaville kati ya wapiganaji wa Frédéric Ntumi na askari wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso.
-
SAUTI: Mfahamu Pasta, Frédéric Ntumi anayeongoza kundi la waasi wa Ninja nchini Congo Brazzaville dhidi ya serikali
Oct 02, 2016 14:58Mapigano yameendelea kushuhudiwa nchini Jamhuri ya Congo Brazzaville kati ya wapiganaji wa Frédéric Ntumi na askari wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso.
-
Kiongozi wa upinzani Kongo ahukumiwa jela miaka miwili
Jul 26, 2016 03:14Mahakama ya Congo Brazzaville imemuhukumu kifungo cha miaka miwili jela Paulin Makaya, kiongozi wa upinzani kwa tuhuma za kuchochea machafuko ya ndani nchini humo.