-
Jitihada za serikali ya Kongo Brazaville katika kupambana na ufisadi
Jun 05, 2016 03:47Serikali ya Jamhuri ya Kongo au Kongo Brazaville imesema kuwa ufisadi wa fedha unaoikabili nchi hiyo unakwamisha ustawi wa kiuchumi na kijamii nchini humo.
-
Wapinzani Brazaville wataka mazungumzo ya kisiasa
May 27, 2016 16:25Mratibu wa Muungano Mkuu wa upinzani nchini Kongo Brazaville amesema kuwa muungano huo upo tayari kufanya mazungumzo ili kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini humo.
-
Amnesty International: Serikali ya Jamhuri ya Kongo imeshambulia na kuua watu katika maeneo ya raia
Apr 18, 2016 14:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema, serikali ya Jamhuri ya Kongo ilishambulia kwa makusudi maeneo ya raia kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 30.
-
Mpinzani wa Sassou Nguesso akubali kushindwa katika uchaguzi wa rais
Apr 08, 2016 02:33Guy-Brice Parfait Kolelas, mgombea wa chama cha upinzani katika Jamhuri ya Kongo ambaye alishika nafasi ya pili katika uchaguzi wa Rais, hatimaye amekiri kushindwa kwenye uchaguzi huo.
-
Wakazi wa kusini mwa mji mkuu wa Kongo Brazzaville wauhama mji kukimbia machafuko
Apr 07, 2016 16:13Wakazi wa maeneo ya kusini mwa Brazzaville, mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo wamekimbia eneo hilo kutokana na mapigano ya hivi karibuni kati ya wanamgambo wa upinzani na askari wa serikali.
-
Machafuko yashtadi Brazaville, maelfu wakimbilia usalama wao
Apr 05, 2016 07:34Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Congo wameukimbia mji mkuu wa nchi hiyo Brazaville kutokana na kushika kasi makabiliano yaliyoripuka jana Jumatatu kati ya maafisa usalama na kundi moja la waasi.
-
Shughuli za kijamii zalemazwa na mgomo Kongo Brazzaville
Mar 29, 2016 14:42Harakati za kila siku za kijamii katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo, Brazzaville zimeathiriwa na mgomo uliotishwa na viongozi wa upinzani nchini humo, kulalamikia kuchaguliwa tena Rais Denis Sassou Nguesso.
-
Upinzani Kongo Brazzaville waitisha maandamano dhidi ya Rais Nguesso
Mar 27, 2016 14:33Viongozi wa upinzani nchini Kongo Brazzaville wameitisha maandamano ya nchi nzima kupinga kuchaguliwa tena Rais Denis Sassou Nguesso mwenye umri wa miaka 72.
-
Nguesso apata ushindi uchaguzi wa rais Congo
Mar 23, 2016 07:24Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais huko Jamhuri ya Congo Brazaville yanaonyesha kuwa Rais Denis Sassou Nguesso anaongoza kwa wingi wa kura.