-
Velayati na Nouri al-Maliki wasisitiza kuungwa mkono Kambi ya Muqawama
Aug 08, 2025 04:15Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amefanya mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki ambapo pande hizo mbili zimejadili matukio ya kikanda na kusisitiza udharura wa kuungwa mkono Kambi ya Muqawama.
-
Ayatullah Khamenei amteua Larijani kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
Aug 07, 2025 22:48Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amemteua mwanasiasa mkongwe, Ali Larijani, kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC)
-
Araqchi: Mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah utagonga mwamba
Aug 07, 2025 08:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, njama za kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon hazitafanikiwa na kwamba Iran inaiunga mkono Hizbullah bila ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
IRGC ya Iran yaapa kutoa jibu madhubuti kwa uchokozi wowote wa Marekani na Israel
Aug 07, 2025 01:02Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limetangaza kwamba liko tayari kikamilifu kutoa jibu la nguvu kwa vitisho vyovyote vinavyotolewa na wapinzani, na kusisitiza dhamira yake ya kulinda mamlaka na usalama wa Iran.
-
Iran yamnyonga jasusi mwingine wa shirika la Mossad
Aug 07, 2025 01:01Iran jana Jumatano ilimnyonga mtu aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi kwa maslahi ya Israel na kutoa taarifa kuhusu mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, mwezi Juni mwaka huu.
-
Pezeshkian: Nchi za Kiislamu zinapaswa kuzuia kuendelea jinai Gaza kupitia diplomasia amilifu
Aug 06, 2025 09:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haja ya kufanyika juhudi za pamoja za nchi za Kiislamu ili kukomesha maafa ya binadamu huko Gaza.
-
Iran yamnyonga gaidi wa kitakfiri wa Daesh aliyepatikana na hatia
Aug 06, 2025 09:03Mamlaka za Mahakama nchini Iran zimemnyonga mwanachama wa kundi la kigaidi na Kitakfiri la Daesh aliyepatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi hapa nchini.
-
Ali Larijani ateuliwa Mkuu Mpya wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran
Aug 06, 2025 04:30Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemteua mwanasiasa mkongwe Ali Larijani kuwa Mkuu Mpya wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC).
-
Iran yasambaza vifurushi vya chakula na maji kwa wakaazi wa Gaza
Aug 06, 2025 00:26Shirika la Hilali Nyekundu la Iran limesambaza vifurushi vya chakula na maji katika Ukanda wa Gaza ili kusaidia mahitaji ya dharura ya wakaazi wa Ukanda huo ambao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa mahitaji ya dharura kama chakula na maji.
-
Balozi wa Iran nchini Denmark: Ulimwengu wa Kiislamu una wajibu maalumu wa kukomesha mauaji ya kimbari huko Gaza
Aug 06, 2025 00:26Katika barua aliyowaandikia mabalozi wa nchi za Kiislamu wanaoishi Denmark, Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini humo ametahadharisha kuhusu athari mbaya za jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kusisitiza kuwa, Ulimwengu wa Kiislamu unabeba dhima maalumu katika kusimamisha mauaji ya kimbari na kuwatetea wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.