-
Taasisi za Palestina: Maelfu ya wafungwa wanakabiliwa na mateso na njaa katika magereza ya Israel
Dec 26, 2025 22:54Asasi mbili za Kipalestina yametangaza kwamba, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina wanaoshikiliwa katika magereza na vituo vya kuzuiliwa vya Israel wanakabiliwa na "mateso yaliyopangwa."
-
Sababu za kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Dec 26, 2025 22:53Ripoti mpya ya Shirika la Haki za Kimsingi la Umoja wa Ulaya (FRA) ya mwaka wa 2025 imefichua sura isiyo ya kawaida ya kuenea chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
-
Ayatullah Khatami: Adui atakumbwa na usiku wa giza iwapo atasababisha madhara kwa Iran
Dec 26, 2025 08:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, uwezo wa makombora wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utaendelea kuwepo na kwamba: "Maadui watakumbana na usiku wa giza kama wanataka kuidhuru Jamhuri ya Kiislamu.
-
Gharibabadi: Mashambulizi ya adui dhidi ya raia wakati wa vita yamethibitisha suala la nyuklia lilikuwa kisingizio tu
Dec 26, 2025 08:25Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa ameissitiza kuwa mashambulizi ya adui dhidi ya raia na makazi ya watu wakati wa vita haramu vilivyoanzisha na Israel kwa kushrikiana na Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka huu yamethibitisha kuwa kadhia ya nyuklia ilikuwa kisingiizo tu cha kuishambulia nchi hii.
-
UN yatahadharisha: Al-Shabab bado ni tishio kubwa nchini Somalia na Kenya
Dec 26, 2025 08:24Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametahadrharishakatika ripoti yao wiki hii kwamba kundi lenye misimamo mikali la al Shabab lingali ni tishio kubwa hivi sasa kwa amani na uthabiti huko Somalia na katika eneo zima pa Pembe ya Afrika ikiwa ni pamoja na katika nchi jirani ya Kenya.
-
Takriban watu 5 wameuawa katika shambulio la kigaidi msikitini wakati wa Sala ya Ijumaa huko Homs, Syria
Dec 26, 2025 08:23Shambulio la kigaidi limewalenga waumini waliokuwa katika ibada ya Sala leo Ijumaa katika msikiti wa Imam Ali bin Abi Talib (a.S) katika kitongoji cha Wadi al Dhahab katika mkoa wa Homs , Syria na kuuwa watu 5 na kujeruhi wengine 21.
-
Waziri wa Vita: Israel kamwe haitaondoka Ukanda wa Gaza
Dec 26, 2025 08:22Israel Katz Waziri wa Vita wa Israel amesisitiza kuwa Tel Aviv "kamwe haitaondoka " Gaza, na kwamba watajenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa ukanda huo, hatua ambayo ni kinyume na makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Vita vilivyosambaratisha mustakabali wa watoto wa Ghaza
Dec 26, 2025 05:22Hali ya watoto wa Ukanda wa Ghaza ni ushahidi wa wazi wa janga la kibinadamu na mauaji ya kimbari ya kimfumo yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni kwa muda wa miaka miwili mfululizo mbali na majanga ya kimwili, kisaikolojia, kijamii na kiutamaduni ya wakazi wa ukanda huo. Jinai hizo za Israel zinaendelea hadi hivi sasa kwa sura tofauti.
-
Trump asema US imeshambulia kijeshi ndani ya Nigeria kuwalenga wanaoua wakristo wasio na hatia
Dec 26, 2025 04:01Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limefanya shambulio la anga dhidi ya wapiganaji wa kundi la DAESH (ISIS) au ISIL kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Kwa wiki moja, Israel imesababisha hasara ya dola milioni 7 kwenye mashamba ya Wapalestina
Dec 26, 2025 03:37Wizara ya Kilimo ya Palestina imetangaza kuwa, ndani ya muda wa wiki moja, uvamizi uliofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel na walowezi haramu umeharibu zaidi ya mizeituni 8,000 katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kusababisha hasara ya karibu dola milioni saba.