-
Kiongozi wa Wakurdi wa SDF: Suluhisho pekee la matatizo ya Syria ni kuwa na serikali ya shirikisho
Dec 26, 2025 03:19Kamanda wa Vikosi vya Kidemokrasia vya Syria (SDF), Mazloum Abdi amesema katika taarifa kwamba suluhisho pekee la matatizo ya Syria ni kuachana na mfumo wa utawala uliopita na kuelekea kwenye serikali ya shirikisho.
-
Papa Leo azungumzia madhila ya Wapalestina wa Ghaza katika ibada ya Krismasi
Dec 26, 2025 03:00Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV amesema katika mahubiri ya Krismasi aliyotoa jana Alkhamisi kwamba anasikitishwa na madhila yanayowafika Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
-
Polisi wa Zambia apongezwa kwa kukataa hongo ya $50,000 kwenye uwanja wa ndege wa Lusaka
Dec 26, 2025 02:44Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zambia (ACC) imempongeza askari polisi wa kike aliyekataa kupokea hongo ya dola za Kimarekani 50,000 kutoka kwa mshukiwa wa utakatishaji pesa katika uwanja wa ndege wa mji mkuu wa nchi hiyo, Lusaka.
-
Araghchi: Vita vya siku 12 vilimalizika kwa heshima, hadhi na ushindi kwa Iran
Dec 25, 2025 23:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilijihami kwa njia halali mbele ya uvamizi haramu wa adui, na hatimaye adui akalazimika kuomba kusitisha mapigano bila ya masharti na hivyo, Vita vya Siku 12 vilimalizika kwa heshima na ushindi kwa taifa la Iran.
-
Hamas yasambaza simulizi ya pili ya kimbunga cha al Aqsa, Muqawama hauwezi kufutwa
Dec 25, 2025 23:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetoa simulizi yake ya pili kuhusiana na Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa dhidi ya Israel iliyoendeshwa kwa mafanikio Oktoba 7, 2023, ikisisitiza kwamba, Muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala katili wa Kizayuni hauwezi kusambaratishwa.
-
UN yalaani vikali shambulio la kigaidi lililoua waumini msikitini jimboni Borno, Nigeria
Dec 25, 2025 23:53Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea kwenye msikiti ulioko katika Soko la Gamboru, mjini Maiduguri, katika Jimbo la Borno kaskazini-mashariki mwa Nigeria, lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya Waislamu waliokuwemo msikitini humo.
-
Sudan katika ukingo wa shimo la maangamizi, RSF washadidisha mashambulizi
Dec 25, 2025 23:33Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF nchini Sudan vimetangaza kwamba vimezidisha mashambulizi na kuchukua udhibiti wa maeneo ya Abu Qamra na Ombro katika jimbo la Darfur Kaskazini, huko magharibi mwa Sudan.
-
Al-Sudani apinga vikali uhusiano wa Iraq na Israel
Dec 25, 2025 23:32Waziri Mkuu wa Iraq aliyemaliza muda wake, Mohammed Shi'a al Sudani amepinga vikali uhusiano wa aina yoyote ile baina ya nchi yake na utawala pandikizi wa Israeli, akissisitiza kwamba jambo kama hilo halina nafasi katika muundo wa kisiasa wa Iraq wala katika mfumo wa kisheria wa taifa hilo la Kiarabu.
-
Shukurani za Venezuela kwa Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuitetea Caracas
Dec 25, 2025 23:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela ameisifu Iran kwa misimamo yake thabiti ya kutetea mamlaka ya kujitawala Caracas.
-
Mapigano ya Syria; matokeo ya migogoro ya ndani na uingiliaji kati wa Marekani na Wazayuni
Dec 25, 2025 09:53Kwa kuendelea kwa uingiliaji kati wa kigeni kushadidi mapigano nchini Syria baina ya makundi yanayomuunga mkono mtawala wa nchi hiyo al-Julani na kundi la Qasad, ukosefu wa usalama utulivu nchini humo umechuukua wigo mpana zaidi.