-
Shukurani za Venezuela kwa Iran kwa msimamo wake thabiti wa kuitetea Caracas
Dec 25, 2025 23:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Venezuela ameisifu Iran kwa misimamo yake thabiti ya kutetea mamlaka ya kujitawala Caracas.
-
Mapigano ya Syria; matokeo ya migogoro ya ndani na uingiliaji kati wa Marekani na Wazayuni
Dec 25, 2025 09:53Kwa kuendelea kwa uingiliaji kati wa kigeni kushadidi mapigano nchini Syria baina ya makundi yanayomuunga mkono mtawala wa nchi hiyo al-Julani na kundi la Qasad, ukosefu wa usalama utulivu nchini humo umechuukua wigo mpana zaidi.
-
Rais Pezeshkian ampongeza Papa kwa mnasaba wa Krismasi na Mwaka Mpya
Dec 25, 2025 08:24Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu kwa Papa Leo wa XIV, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, akimpongeza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Nabii Isa (amani iwe juu yake) na kuwadia Mwaka Mpya wa 2026.
-
Uchaguzi wa moja kwa moja Somalia kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya nusu karne
Dec 25, 2025 08:19Wakazi wa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, wameanza kupiga kura katika uchaguzi wa baraza la mitaa, tukio la kihistoria kwani ni mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 50 wananchi kuchagua wawakilishi wao moja kwa moja. Hata hivyo, hatua hii imegubikwa na upinzani wa vyama vilivyokataa kushiriki.
-
Guterres atoa wito wa uchaguzi wa amani na jumuishi CAR
Dec 25, 2025 08:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa raia wote wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), kushiriki kikamilifu katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo, akisisitiza umuhimu wa utulivu, nidhamu na kuheshimu misingi ya kidemokrasia kabla ya uchaguzi huo uliopangwa kufanyika tarehe 28 Desemba.
-
Tahadhari kuhusu ongezeko la utapeli mtandaoni
Dec 25, 2025 08:16Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu UNODC imeonya kuwa kuongezeka kwa muunganisho wa kidijitali kunakwenda sambamba na ongezeko kubwa la uhalifu wa mtandaoni.
-
Erdogan: Israel haiheshimu ahadi zake, kamwe Uturuki haitaiacha Gaza
Dec 25, 2025 04:43Rais wa Uturuki amesema: "Utawala wa Israel hauheshimu wala kufungamana na ahadi zake na unazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza kila mara kwa kutumia visingizio mbalimbali."
-
Ujenzi wa vitongoji haramu Ukingo wa Magharibi walaaniwa kimataifa
Dec 25, 2025 04:36Mataifa ya Ulaya sambamba na Canada na Japan yametoa taarifa ya pamoja na kulaani uamuzi wa Israel wa kuanzisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
IRGC yanasa meli iliyobeba lita milioni 4 za mafuta ya magendo
Dec 25, 2025 03:48Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli iliyokuwa imebeba shehena kubwa ya mafuta ya magendo katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yasuta 'diplomasia ya mabomu' ya Marekani
Dec 25, 2025 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekejeli na kukosoa vikali tafsiri ya Marekani ya 'diplomasia' katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisisitiza kuwa, uwazi na utayarifu kwa mazungumzo hauna mfungamano wowote na kuuripua kwa mabomu upande wa pili wakati wa majadiliano.