-
Mashujaa Dei kufanyika kama kawaida Kenya licha ya maombolezo ya kifo cha Raila Odinga
Oct 19, 2025 23:52Serikali ya Kenya imetangaza kuwa Siku ya Mashujaa itaadhimishwa leo kama kawaida licha ya hofu iliyokuwepo kwamba ingeahirishwa baada ya kifo cha waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Raila Odinga.
-
Newsom akosoa vikali maonyesho ya kijeshi ya Trump, asema: Kiburi kimefadhilishwa kuliko uwajibikaji
Oct 19, 2025 23:10Gavana wa chama cha Democratic huko California amekosoa maonyesho ya kijeshi ya Trump ambayo yalisababisha kufungwa barabara kuu, akiyataja kuwa ni ishara ya Rais kutanguliza mbele "kiburi kuliko uwajibikaji."
-
Maaandamano dhidi ya Trump nchini Marekani yanafanyika kwa malengo gani
Oct 19, 2025 23:07Mamilioni ya Wamarekani waliingia mitaani katika maandamano ya nchi nzima wakiimba "No Kings" kupinga muhula wa pili wa rais Donald Trump na kile wanachokiita "mienendo yake ya kimabavu."
-
Gavana wa Darfur: Mashambulizi ya RSF huko El Fasher ni sawa na mauaji ya halaiki
Oct 19, 2025 23:06Gavana wa Darfur, magharibi mwa Sudan, Minni Arko Minawi, amesema kuwa mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, ni sawa na mauaji ya halaiki.
-
Deni la umma lailemea serikali ya Marekani, wachumi washikwa na wasiwasi
Oct 19, 2025 23:05Deni la umma la Marekani limefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo, ambapo sasa deni hilo linatajwa kufika trilioni 37.9.
-
Wamisri wataka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani na Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2025 23:02Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa Gaza.
-
Jan Eliasson: Kurudishwa vikwazo dhidi ya Iran ni hatua ya kurudi nyuma
Oct 19, 2025 07:55Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi amesisitiza kwamba Troika ya Ulaya imetokomeza uwezo wake wa kuwa na nafasi huru katika eneo la Asia Magharibi kwa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran.
-
Hamas yakanusha madai ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ya kukiuka usitishaji mapigano
Oct 19, 2025 07:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekanusha vikali madai yaliyomo katika taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwamba harakati hiyo imekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza.
-
Burhan: Jeshi la Sudan liko tayari kwa mazungumzo ili kurejesha umoja
Oct 19, 2025 07:53Jenerali Abdel-Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kwa mazungumzo ya "kumaliza vita na kurejesha umoja na heshima ya nchi hiyo."
-
Pakistan na Afghanistan zafikia makubaliano ya kusitisha mapigano
Oct 19, 2025 07:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa Pakistan na Afghanistan zimekubaliana kusitisha mapigano mara moja katika mazungumzo yaliyofanyika Doha.