-
Vipengee muhimu vya makubaliano ya usitishaji vita Gaza
Oct 09, 2025 23:02Utawala unaoukalia kwa mabavu Palestina na Hamas hatimaye wamefikia maelewano juu ya kutekeleza awamu ya kwanza ya usitishaji vita huko Gaza.
-
Tshisekedi amtaka Kagame aache kuwaunga mkono waasi
Oct 09, 2025 23:01Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amemtaka mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuacha kuwasaidia waasi mashariki ya DRC na kutengeneza amani.
-
Umoja wa Mataifa kupunguza kwa asilimia 25 vikosi vyake vya kulinda amani
Oct 09, 2025 23:00Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapanga kupunguza kwa asilimia 25 vikosi vyake vya kulinda amani
-
Eritrea yapuuzilia mbali madai ya Ethiopia ya kutaka kuanzisha vita
Oct 09, 2025 22:58Eritrea imepuuzilia mbali shutuma zilizotolewa na Ethiopia kwamba nchi hiyo inajiandaa kuanzisha vita ikisema ni ''matamshi ya uchochezi''.
-
Russia: Kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inafadhili ugaidi katika nchi kadhaa za Afrika
Oct 09, 2025 09:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amesema, kuna ushahidi mpya unaoonyesha kuwa Ukraine inayasaidia makundi ya wanamgambo na ya kigaidi katika eneo la Sahara-Sahel barani Afrika, ikiwa ni pamoja na kuyasambazia ndege zisizo na rubani,
-
Kukabiliana na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja; hatua muhimu kwa ajili ya uthabiti wa Asia Magharibi
Oct 09, 2025 09:04Amir-Saeed Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, amesisitiza kuwa: "Hali ya eneo la Magharibi mwa Asia ni mbaya mno, na hali hiyo ni matokeo ya uingiliaji kati na siasa za kijeshi za baadhi ya madola ya nje ya eneo, migogoro ya silaha inayoendelea, kukaliwa kwa mabavu kwa muda mrefu na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni."
-
Viongozi duniani wakaribisha makubaliano ya kusimamishwa vita Ghaza yaliyofikiwa kati ya Hamas na Israel
Oct 09, 2025 07:55Viongozi mbalimbali duniani wamekaribisha tangazo la kusitishwa vita Ghaza kufuatia siku tatu za mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya harakati ya ukombozi wa Palestina ya Hamas na utawala wa kizayuni Israel nchini Misri kulingana na mpango uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Bunge la Uhispania laidhinisha marufuku ya kuuuzia silaha utawala wa kizayuni wa Israel
Oct 09, 2025 07:08Bunge la Uhispania limeidhinisha vikwazo vya silaha vilivyopendekezwa na Waziri Mkuu Pedro Sanchez dhidi ya utawala wa kizayunii wa Israel.
-
Upinzani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati: Hatutashiriki uchaguzi mkuu wa Desemba 28
Oct 09, 2025 07:07Upinzani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati umetangaza kuwa utasusia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Disemba ambapo Rais Faustin-Archange Touadera atawania tena urais kwa muhula wa tatu.
-
Chama tawala Italia kuwasilisha muswada wa kupiga marufuku uvaaji burqa na niqabu maeneo ya umma
Oct 09, 2025 07:03Gazeti la Politico la nchini Italia limeripoti kuwa chama tawala nchini humo cha Brothers of Italy kimesema, kinapanga kuwasilisha mswada bungeni wa kupiga marufuku wanawake wa Kiislamu kuvaa vazi la burqa na niqabu katika maeneo ya umma, kikitaja sababu ya kufanya hivyo kuwa ni kupinga ilichokiita "utengano wa Kiislamu".