Duru za Kizayuni zimesambaza mkanda wa video unaomuonesha mwanajeshi mmoja Mzayuni akitoa amri kwa wanajeshi wenzake na Wazayuni kwa ujumla kuhakikisha wanawaua Waarabu wote na wasimbakishe hata mtoto mdogo.
Ripoti ya Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki+SAUTI Inaletwa kwenu na mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit
Wanamapambano wa Palestina wamesambaza mkanda wa video unaomuonesha askari wa Tel Aviv akitetemeka mwili mzima huku akiwaomba kwa kubembeleza wanamapambano wa Palestina wasimuue.
Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria alivyolakiwa na umati mkubwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano na kulakiwa umati mkubwa wa wananchi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imamu Khomeini (RA)
Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
Mji wa pili kwa ukubwa nchini Iran wa Mashhad hivi karibuni ulikuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa waandishi wa habari wanawake mashuhuri wanaofanya kazi katika majukwaa mbadala ya vyombo vya habari kutoka kote ulimwenguni.
Takriban watu 113 wamefarikidi dunia na zaidi ya 150 kujeruhiwa katika moto uliozuka kwenye sherehe ya harusi katika mkoa wa Nineveh wa kaskazini mwa Iraq.
Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa Iran amelihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba, maadui hawatafanikiwa kupotosha uhakiika wa Qur'ani.
Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, kuendeleza njia ya Imam Husain AS ndilo chaguo pekee bora la kuweza kumwokoa mwanadamu mbele ya dhulma na ukandamizaji.