-
MAHOJIANO na mwanahabari wa Kenya aliyeshiriki Tamasha la Khorshid Iran
Oct 03, 2023 15:03Mji wa pili kwa ukubwa nchini Iran wa Mashhad hivi karibuni ulikuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa waandishi wa habari wanawake mashuhuri wanaofanya kazi katika majukwaa mbadala ya vyombo vya habari kutoka kote ulimwenguni.
-
Harusi ya mauti! Zaidi ya watu 263 wafariki dunia na kujeruhiwa nchni Iraq + Video
Sep 27, 2023 03:55Takriban watu 113 wamefarikidi dunia na zaidi ya 150 kujeruhiwa katika moto uliozuka kwenye sherehe ya harusi katika mkoa wa Nineveh wa kaskazini mwa Iraq.
-
Rais wa Iran: Maadui hawatafanikiwa kamwe kupotosha ukweli wa Qur'ani
Sep 20, 2023 11:32Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa Iran amelihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kueleza kwamba, maadui hawatafanikiwa kupotosha uhakiika wa Qur'ani.
-
Sheikh Ibrahim Zakzaki: Muqawama wa Imam Husain AS ndiyo njia pekee ya kuokoka mwanadamu + Video
Sep 07, 2023 11:07Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, kuendeleza njia ya Imam Husain AS ndilo chaguo pekee bora la kuweza kumwokoa mwanadamu mbele ya dhulma na ukandamizaji.
-
Waislamu wa Kondoa Tanzania walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu +VIDIO
Jul 30, 2023 08:12Waislamu wa madhehebu ya Shia na Suni katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma nchini Tanzania kwa pamoja wamelaani vikali kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
-
Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
Jul 13, 2023 11:34Rais wa Iran apokewa Zimbabwe kwa kaswida ya "Salam Farmande"
-
Waislamu wa Uganda walivyompokea Rais wa Iran +VIDEO
Jul 13, 2023 11:20Katika safari yake nchini Uganda, kabla ya kuelekea Zimbabwe, Rais Ebrahim Raisi alipokewa na shangwe na furaha na Waislamu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO
Jul 13, 2023 11:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje
-
Video: Rais Raisi apokewa rasmi na Rais William Ruto wa Kenya katika ziara ya kuzitembelea Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 12, 2023 04:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo alfajiri amewasili jijini Nairobi na kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Machafuko yapamba moto Ufaransa, sasa serikali yatumia ndege zisizo na rubani + Video
Jul 03, 2023 07:05Machafuko yasiyodhibitika yamepamba moto katika nchi ya Ulaya ya Ufaransa na sasa jeshi la polisi la nchi hiyo limeamua kutumia droni yaani ndege zisizo na rubani dhidi ya waandamanaji wenye hasira.