-
SEPAH: Silaha za Iran ni silaha za kumsambaratisha adui + Video
Jun 06, 2023 10:01Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na shirika la habari la Iran Press wakati wa uzinduzi wa kombora la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah' kwamba, silaha za Iran ni za kumsambaratisha adui.
-
Sheikh Ali Saeed: Urithi wa Imam Khomeini unaendelea kuwatia moyo Waislamu + Video
May 31, 2023 09:02Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Ja'fari mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya amesema: Fikra za Imam Ruhullah Khomeini zinatia matumaini mema na ni nguzo ya kuwawezesha na kuwapa nguvu Waislamu duniani.
-
Ndege ya abiria iliyoundwa Iran yafanyiwa majaribio kwa mafanikio + Video
May 31, 2023 03:47Ndege ya abiria na mizigo ya iliyopewa jina la Simorgh imeundwa kikamilifu na wataalamu wa Shirika la Viwanda vya Anga la Wizara ya Ulinzi ya Iran na imefanyiwa majaribio ya kuruka kwa mafanikio makubwa.
-
Mamia ya athari za kale za Afghanistan zilizoibiwa wakati wa uvamizi wa Marekani zarejshwa nchini + Video
May 29, 2023 01:31Mamia ya vipande vya athari za kale zilizoibiwa wakati wa uvamizi na vita vilivyoanzishwa na wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan vimerejeshwa kwenye jumba la makumbusho la nchi hiyo.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 13:33Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 19, 2023 02:25Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
Rais wa Zanzibar aadhimisha Siku ya Vyombo vya Habari kwa maagizo matano + SAUTI
May 04, 2023 02:10Jana Jumatano, Mei 3, 2023 ilikuwa ni siku ya vyombo vya habari. Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibari ametua fursa hiyo kutoa maagizo matano. Moja ya maagizo hayo ni kuwataka waandishi wa habari kutumia siku hiyo kuandaa hafla zinazohusu uhusiano kati ya uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza na haki nyingine. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
Apr 12, 2023 04:20Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na saba ya mwezi wa Ramadhani
Apr 08, 2023 03:18Dua ya siku ya kumi na saba ya mwezi wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na sita ya Ramadhani
Apr 06, 2023 19:30Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya kumi na sita ya mwezi mtukufu wa Ramadhani