-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 18, 2023 22:55Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
Rais wa Zanzibar aadhimisha Siku ya Vyombo vya Habari kwa maagizo matano + SAUTI
May 03, 2023 22:40Jana Jumatano, Mei 3, 2023 ilikuwa ni siku ya vyombo vya habari. Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibari ametua fursa hiyo kutoa maagizo matano. Moja ya maagizo hayo ni kuwataka waandishi wa habari kutumia siku hiyo kuandaa hafla zinazohusu uhusiano kati ya uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza na haki nyingine. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
Apr 12, 2023 00:50Dua ya siku ya ishirini na moja ya mwezi wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na saba ya mwezi wa Ramadhani
Apr 07, 2023 23:48Dua ya siku ya kumi na saba ya mwezi wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na sita ya Ramadhani
Apr 06, 2023 16:00Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya kumi na sita ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na nne ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Apr 04, 2023 23:55Dua ya siku ya kumi na nne ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi na mbili ya Ramadhani
Apr 02, 2023 16:00Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya kumi na mbili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya kumi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Mar 31, 2023 23:47Dua ya siku ya kumi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
-
Dua ya siku ya tisa ya mwezi wa Ramadhani
Mar 31, 2023 03:49Dua ya siku ya tisa ya Ramadhani