-
Mamia wapoteza maisha katika mtetemeko mkubwa wa ardhi Uturuki, Syria + Video
Feb 06, 2023 08:06Mtemtemeko mkubwa wa ardhi umetikisa maeneo ya kusini mashariki mwa Uturuki na kaskazini mwa Syria na kuua watu wasiopungua 400 huku idadi ya waliopoteza maisha ikitazamiwa kuongezeka.
-
VIDEO: Siku ambayo Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya kijeshi ya Marekani huko Ain al-Asad
Jan 08, 2023 06:56Leo tarehe 8 Januari ni siku ambayo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) lilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya "Ain al-Asad" nchini Iraq, shambulio ambalo liliakisiwa sana na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa.
-
Mvua kali na mafuriko katika majimbo ya Makka na Jeddah Saudia
Dec 24, 2022 06:26Mafuriko makubwa yaliukumba mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia siku ya Ijumaa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, kuharibu magari na mali katika mji huo.
-
Pigo jingine kwa Wazayuni, Morocco yasherehekea kwa bendera ya Palestina, kupanda Kombe la Dunia + Video
Dec 02, 2022 08:01Katika hali ambayo serikali ya Morocco imetangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu na ya Waislamu, wamezidi kuonesha kutokubaliana na uamuzii huo wa utawala wa kifalme wa Morocco.
-
Raisi: Adui ajue kuwa hana nafasi katika nyoyo za wananchi wa Iran + Video
Dec 01, 2022 13:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba hawana na hawatakuwa na nafasi katika nyoyo za watu wa Iran kwa sababu utamaduni wa kujitolea mhanga na muqawama umekita mizizi miongoni mwa Wairani.
-
Watu 7 hadi 10 kati ya kila watu 100 wana matatizo ya figo Tanzania + SAUTI
Nov 25, 2022 02:31Takwimu zinaonesha kuwa, watu saba hadi kumi kati ya watu 100 wanasumbuliwa na ugonjwa figo nchini Tanzania. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar
-
Viongozi wa Tanzania watakiwa kutoa uhuru wa kisiasa + SAUTI
Nov 21, 2022 02:21Viongozi Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wametakiwa kuhakikisha harakati za kisiasa zinafanyika katika mazingira ya uhuru na haki nchini humo. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Aliyemrushia mayai Mfalme Charles kupinga utawala wa kifalme Uingereza, atiwa nguvuni + Video
Nov 09, 2022 13:23Vyanzo vya habari vya Uingereza vimeripoti leo Jumatano kukamatwa kwa mwanamume aliyemrushia mayai Mfalme Charles III na mkewe, Camelia, wakati wa ziara yakke eneo la York.
-
Rais wa Zanzibar apokea ripoti ya Kikosi Kazi iliyojadili maoni ya wananchi + SAUTI
Nov 03, 2022 04:03Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibar amepokea ripoti ya Kikosi Kazi kilichoshughulikia uchambuzi wa maoni yaliyotolewa kwenye kongamano la siku mbili lililojadili hali ya kisiasa Zanzibar mwezi uliopita. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Watu 53 wasubiri kunyongwa kwa umati Saudia, Magharibi kimya! + VIDEO
Nov 01, 2022 11:17Nchi za Magharibi zimeendelea kunyamazia kimya taarifa kuwa Saudi Arabia imepanga kuwanyonga kwa umati watu 53 nchini humo. Kwa uchache wanane kati ya watu hao ni watoto wadogo.