-
Chanzo cha ugonjwa wa Lupa ulioikumba Tanzania bado hakijajulikana + Sauti
Sep 10, 2018 01:42Serikali ya Tanzania imesema, hadi kufikia sasa haijafahamika chanzo cha ugonjwa wa Lupa ulioikumba nchi hiyo.
-
SAUTI, Kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Rwanda leo, zimeanza kuhesabiwa, chama tawala kinaongoza
Sep 03, 2018 11:58Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika mapema leo nchini Rwanda limeanza na chama ambapo chama tawala cha RPF kinaonekana kuongoza matokeo.
-
SAUTI, Vyama vya upinzani Burundi vimetaka kuteuliwa upya wajumbe wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo
Sep 03, 2018 11:56Chama cha upinzani nchini Burundi MRC kimetaka kuitishwa upya uteuzi wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ikiwa ni katika kusubiri kikao cha majadiliano kilichoitishwa na Benjamin Mkapa, rais mustaaf wa Tanzania.
-
SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao
Aug 30, 2018 12:30Balozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, amesema kuwa, Sikukuu ya Ghadir sio kwa ajili ya Waislamu wa Shia pekee, bali Waislamu wa madhehebu yote duniani.
-
SAUTi, Raia wa Burundi waitaka serikali kudhamini mifuko ya makaratasi kabla ya kuzuia ile ya plastiki
Aug 30, 2018 12:29Baada ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kusaini sheria inayopiga marufuku matumizi na biashara ya mifuko ya plastik nchini humo, wananchi wamekuwa wakihimizwa kuachana na matumizi ya mifuko ya aina hiyo ambayo inaharibu mazingira kwa kiasi kikubwa.
-
SAUTI, Rwanda na Afrika Kusini zimekubaliana kushirikiana katika sekta tofauti ikiwemo uongozi bora
Aug 30, 2018 12:29Nchi za Africa Kusini na Rwanda zimekubaliana kushirikiana katika nyanja mbalimbali zikiwemo za uongozi bora na mipango ya maendeleo.
-
SAUTI, Viongozi wa upinzani Kongo DR walaani panga lililokata majina yao kushiriki uchaguzi ujao
Aug 25, 2018 10:15Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameijia juu Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo (CENI) kwa hatua yake ya kukata majina sita miongoni mwa majina ya waliojiandikisha kugombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Wahitimu vyuo vikuu Burundi wahimizwa kujiajiri + Sauti
Aug 23, 2018 12:24Serikali ya Burundi imekuwa ikiwahimiza vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu kujiunga na kazi mbali mbali za kiufundi nchini humo katika dhamira ya kukabiliana na ukosefu ajira. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio ripota wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa
-
Rais Paul Kagame wa Rwanda awataka viongozi wa Afrika kupambana na uhamiaji haramu
Aug 23, 2018 12:16Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika amesema viongozi wa kiafrika wana kila sababu ya kuwafanya kusimama kidete kukomesha tatizo la uhamiaji haramu wa vijana wa kiafrika wanaokufa maji wakijaribu kukimbilia mataifa ya ulaya. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi…
-
Ndege irukayo kwa mwendo wa kasi kuliko ya sauti ya “Kowsar”; kielelezo cha uwezo wa Iran unaotokana na wataalamu wa ndani + Video
Aug 22, 2018 21:10Rais Hassan Rouhani amesema: "kujizatiti kulinzi Iran maana yake si kushupalia vita ila ni kutaka kuwa na usalama na amani endelevu, kwa sababu historia imetufunza kuwa kama hatutakuwa imara na wenye nguvu tutasambaratishwa."