Wahitimu vyuo vikuu Burundi wahimizwa kujiajiri + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i47641-wahitimu_vyuo_vikuu_burundi_wahimizwa_kujiajiri_sauti
Serikali ya Burundi imekuwa ikiwahimiza vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu kujiunga na kazi mbali mbali za kiufundi nchini humo katika dhamira ya kukabiliana na ukosefu ajira. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio ripota wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Aug 23, 2018 12:24 UTC