Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo

    Russia yazionya nchi za Magharibi zisijaribu kuingilia uchaguzi wa rais wa nchi hiyo

    Feb 16, 2018 04:08

    Serikali ya Russia imeyaonya madola ya Magharibi kutoingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika uchaguzi wa rais.

  • Kuendelea radiamali ya mashirika ya haki za binadamu kuhusiana na udikteta wa uchaguzi nchini Misri

    Kuendelea radiamali ya mashirika ya haki za binadamu kuhusiana na udikteta wa uchaguzi nchini Misri

    Feb 14, 2018 09:06

    Katika radiamali ya hivi karibuni kabisa ya mashirika ya kimataifa kuhusiana na mchakato wa uchaguzi wa Rais nchini Misri, asasi na juumuiya kadhaa za haki za binadamu likiwemo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch na waandishi wa habari wasio na mipaka zimetangaza kuwa, uchaguzi huo hauna hata vigezo vya chini kabisa vya kufanyika zoezi la upigaji kura katika mazingira ya wazi na huru.

  • Mashirika ya kutetea haki yautaja uchaguzi ujao wa Misri kama kichekesho

    Mashirika ya kutetea haki yautaja uchaguzi ujao wa Misri kama kichekesho

    Feb 13, 2018 23:51

    Mashirika 14 ya kieneo na kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameutaja uchaguzi ujao wa rais nchini Misri kama mchezo wa kuigiza.

  • Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati

    Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati

    Feb 08, 2018 04:23

    Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.

  • Wanasiasa Misri kususia uchaguzi wa rais

    Wanasiasa Misri kususia uchaguzi wa rais

    Jan 30, 2018 13:06

    Makumi ya wanaharakati wa kisiasa wa Misri wametia saini taarifa ya kususia uchaguzi ujao wa rais nchini humo wakisema kuwa, hautakuwa na sifa za awali kabisa za uchaguzi huru na wa haki.

  • Al-Sisi asafishiwa njia kutetea kiti cha urais baada ya wapinzani wake kutiwa mbaroni au kujitoa

    Al-Sisi asafishiwa njia kutetea kiti cha urais baada ya wapinzani wake kutiwa mbaroni au kujitoa

    Jan 25, 2018 03:58

    Mpinzani wa Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ujao wa Rais ametangaza kujitoa katika mbio hizo hatua ambayo inamsafishia njia Rais wa sasa wa nchi hiyo kutetea kiti chake.

  • Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Jan 24, 2018 11:09

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameahidi kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais kabla ya Julai mwaka huu na kwamba ataheshimu uamuzi wa wananchi.

  • Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili

    Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili

    Jan 18, 2018 11:00

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema hajui iwapo atagombea muhula wa pili wa uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2019 au la.

  • Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu

    Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu

    Jan 11, 2018 00:29

    Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kuisaidia Libya katika maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2018.

  • Ra'ad al Hussein hatagombea tena ukamishna wa haki za binadamu UN, sababu ni Marekani

    Ra'ad al Hussein hatagombea tena ukamishna wa haki za binadamu UN, sababu ni Marekani

    Jan 11, 2018 00:28

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra’ad al-Hussein amejiengua katika kinyang'anyiro cha kugombea tena kiti hicho akilalamikia ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS