-
Askari 2 wa Iran wauawa katika shambulio la kichokozi la Taliban; utulivu warejea
May 28, 2023 02:29Askari wawili wa mpakani wa Iran wameuawa shahidi huku raia wawili wakijeruhiwa katika shambulizi la kichokozi la wapiganaji wa Taliban katika mpaka wa Jamhuri ya Kiislamu na Afghanistan.
-
Russia: US inatuma magaidi Afghanistan kuyumbisha uthabiti wa eneo
May 26, 2023 09:45Russia imeituhumu Marekani kuwa inataka kutumia magenge ya kigaidi nchini Afghanistan kwa shabaha ya kuvuruga uthabiti katika eneo zima la Asia ya Kati.
-
Abdollahian: Iran haiitambui serikali ya sasa ya Afghanistan
May 26, 2023 01:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.
-
Kujiuzulu Mullah Mohammad Hassan Akhund Mkuu wa serikali ya Taliban ya Afghanistan, na kuteuliwa mrithi wake
May 19, 2023 01:36Duru za Afghanistan zimetangaza kuwa Mullah Mohammad Hassan Akhund aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini humo amejiuzulu wadhifa huo na tayari mrithi wake ameteuliwa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban aelekea Pakistan kukutana na wenzake wa China na Pakistan
May 06, 2023 12:04Mawlawi Amir Khan Muttaqi, Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan, amewasili Islamabad akiongoza ujumbe maalumu kwa madhumuni ya kukutana na kufanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa China Qin Gang na wa Pakistan Bilawal Bhutto-Zardari.
-
Rais wa Baraza la Usalama la UN: Hali ya Afghanistan ni tatizo sugu na gumu
May 02, 2023 06:41Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesema, hali ya Afghanistan ni "tatizo sugu na gumu sana" kuweza kushughulikiwa.
-
Kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa jirani na Afghanistan
Apr 15, 2023 02:41Kikao cha nne cha nchi jirani na Afghanistan kilifanyika Alkhamisi ya juzi katika mji wa Samarkand nchini Uzbekistan.
-
Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan
Apr 09, 2023 02:14Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa kwa marufuku waliyowekewa wanawake wa Afghanistan wasihudumu katika ofisi za umoja huo
Apr 08, 2023 03:00Umoja wa Mataifa umefunga ofisi zake zote nchini Afghanistan masaa 48 baada ya serikali ya Taliban kuwapiga marufuku wanawake kufanya kazi katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mkoani Nangarhar.
-
Ahadi mpya ya Taliban kuhusu elimu ya wasichana
Mar 31, 2023 02:09Sher Mohammad Abbas Stanikzai, naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Taliban akiwa safarini katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia marufuku ya elimu kwa wasichana Waafghanistani na kusema milango ya elimu haipaswi kufungiwa yeyote.