-
Rais wa Baraza la Usalama la UN: Hali ya Afghanistan ni tatizo sugu na gumu
May 02, 2023 06:41Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesema, hali ya Afghanistan ni "tatizo sugu na gumu sana" kuweza kushughulikiwa.
-
Kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa jirani na Afghanistan
Apr 15, 2023 02:41Kikao cha nne cha nchi jirani na Afghanistan kilifanyika Alkhamisi ya juzi katika mji wa Samarkand nchini Uzbekistan.
-
Kuchapishwa ripoti rasmi ya serikali ya Biden kuhusu kuondoka Afghanistan
Apr 09, 2023 02:14Ikulu ya Rais wa Marekani (White House) Alhamisi iliyopita iliwasilisha ripoti yake rasmi kuhusu namna serikali ya Biden ilivyoondoka kwa madhila na fedheha huko Afghanistan. Ndani ya ripoti hiyo, serikali ya Trump imetajwa mara kwa mara kuwa ndio inayopaswa kulaumiwa kwa jinsi Marekani ilivyondoka huko Afghanistan katika hali ya mivutano.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa kwa marufuku waliyowekewa wanawake wa Afghanistan wasihudumu katika ofisi za umoja huo
Apr 08, 2023 03:00Umoja wa Mataifa umefunga ofisi zake zote nchini Afghanistan masaa 48 baada ya serikali ya Taliban kuwapiga marufuku wanawake kufanya kazi katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mkoani Nangarhar.
-
Ahadi mpya ya Taliban kuhusu elimu ya wasichana
Mar 31, 2023 02:09Sher Mohammad Abbas Stanikzai, naibu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya Taliban akiwa safarini katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amezungumzia marufuku ya elimu kwa wasichana Waafghanistani na kusema milango ya elimu haipaswi kufungiwa yeyote.
-
Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)
Mar 28, 2023 11:42Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Taliban anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, wananchi wa Afghanistan ndio walengwa wakuu wa hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Faini ya dola bilioni 18 inaisubiri Pakistan
Mar 06, 2023 02:28Onyo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kama serikali ya Pakistan haitochukua msimamo ulio wazi kuhusu mkataba wa kununua gesi kutoka Iran, basi kuna hatari Islamabad ikalazimika kulipa faini ya dola bilioni 18. Inaonekana wazi kuwa, viongozi wa Pakistan wamelichukulia kwa uzito onyo hilo.
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 12, 2023 02:34Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya binadamu nchini Afghanistan
Feb 09, 2023 02:43Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya kushadidi mgogoro wa binadamu nchini Afghanistan.
-
Shamkhani: Marekani inataka kuigeuza Afghanistan kitovu cha ugaidi
Feb 09, 2023 02:22Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani njama za Marekani za kujaribu kuigeuza Afghanistan kimbilio na kitovu cha ugaidi.