-
Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika
Apr 02, 2025 23:01Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya kujitawala nchi za bara hilo.
-
Guinea yatoa msamaha uliobua utata kwa kiongozi wa zamani wa kijeshi Dadis Camara
Mar 29, 2025 23:08Katika uamuzi wa kutatanisha, kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Guinea, Jenerali Mamadi Doumbouya, ametoa msamaha wa rais kwa mtawala wa zamani wa kijeshi Moussa Dadis Camara.
-
Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?
Mar 12, 2025 09:02Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 09, 2025 22:57Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Mkuu wa WHO: Uongozi wa Kiafrika uko imara katika nyanja nyingi za afya duniani
Mar 05, 2025 02:43Tedros Adhanom Ghebreyesus Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amebainisha kuwa uongozi wa Afrika una nguvu katika nyanja nyingi za afya duniani.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Mar 01, 2025 23:03Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.
-
Iran: Tutajikita katika kuimarisha uhusiano na mataifa ya Afrika
Feb 22, 2025 08:33Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imesisitiza kuwa, irada ya Jamhuri ya Kiislamu imeelekezwa katika kuimarisha uhusiano wake na mataifa ya Afrika.
-
Katibu Mkuu wa UN aahidi Afrika kuwa na mwakilishi wa kudumu kwenye Baraza la Usalama
Feb 16, 2025 10:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema sio sawa kwa bara la Afrika kutokuwa na kiti cha mwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, na ameahidi kufanya kazi na Umoja wa Afrika na nchi wanachama ili kuhakikisha kuwa nchi za Afrika zinapata mwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama.
-
Mtaalamu wa Zambia: Ushuru wa Trump utawadhuru zaidi Wamarekani
Feb 14, 2025 23:12Mtaalamu mmoja wa masuala ya biashara, ujasiriamali na uwezekaji wa Zambia amesema uamuzi wa serikali ya Marekani wa kutoza ushuru wa juu kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka Canada, Mexico, na China utawadhuru zaidi Wamarekani.
-
IOM: Vita vya Sudan vimeongeza idadi ya wakimbizi wa ndani Pembe ya Afrika
Feb 04, 2025 23:10Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema idadi ya wakimbizi wa ndani (IDP) katika Pembe ya Afrika iliongezeka hadi milioni 20.75 kufikia mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2024.