Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • "Nchi za Magharibi zilizofaidika na utumwa ziwape fidia Waafrika"

    Jan 01, 2022 09:23

    Nchi za Magharibi zilizohusika na kustafidi na biashara haramu ya utumwa zimetakiwa kuzilipa fidia nchi za Afrika kutokana na jinai za utumwa na ukoloni.

  • Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia

    Dec 30, 2021 04:47

    Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha'abi.

  • Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

    Dec 27, 2021 09:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kufungamana na familia za raia wa Burkina Faso ambao waliuawa katika hujuma ya kigaidi hivi karibuni.

  • Gordon Brown: Nchi za Afrika zisilaumiwe kwa kusambaa kirusi cha corona aina ya Omicron

    Gordon Brown: Nchi za Afrika zisilaumiwe kwa kusambaa kirusi cha corona aina ya Omicron

    Dec 25, 2021 01:01

    Gordon Brown, waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, amesema kuzuka kwa kirusi kipya cha corona, "Omicron" sio kosa la Afrika, na amezilaumu nchi tajiri ambazo zilijilimbikizia mamia ya mamilioni ya dozi za chanjo ya corona, kwa kukataa kutoa chanjo kwa nchi maskini licha ya tahadhari iliyotolewa hapo awali kwamba kutofanya hivyo kutatatiza juhudi za kuangamiza kirusi hicho.

  • WHO: Kampeni ya kutoa chanjo barani Afika inaenda mwendo wa kinyonga

    WHO: Kampeni ya kutoa chanjo barani Afika inaenda mwendo wa kinyonga

    Dec 16, 2021 13:11

    Shirika la Afya Duniani limetangaza kuwa, kuna uwezekano kwamba, itakuchua muda wa kufikia nusu ya pili ya mwaka 2024 ili bara la Afrika liweze kutoa chanjo ya virusi vya corona kwa asilimia 70 ya jamii ya watu wa bara hilo.

  • Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

    Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

    Dec 14, 2021 23:01

    Shirika la Iran Khodro, ambalo ndilo shirika kubwa zaidi la kuunda magari Asia Magharibi, limetangaza kufungua tena kiwanda chake cha kuunda magari nchini Senegal.

  • Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Mahojiano na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran + Sauti

    Dec 13, 2021 13:20

    Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.

  • Afrika CDC: Dunia isibabaike kutokana na kirusi cha Omicron

    Afrika CDC: Dunia isibabaike kutokana na kirusi cha Omicron

    Dec 03, 2021 00:55

    Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwa watulivu na iache kubabaika kutokana na kugunduliwa spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron.

  • Mkutano wa 3 wa mabinti wa Kiafrika wa kupiga vita ndoa za Utotoni wafanyika Niger

    Mkutano wa 3 wa mabinti wa Kiafrika wa kupiga vita ndoa za Utotoni wafanyika Niger

    Nov 18, 2021 23:28

    Niger imekuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa Mabinti wa Kiafrika ambao ulianza shughuli zake tarehe 16 hadi 18 mwezi huu wa Novemba.

  • Kifo cha FW De Klerk chaibua hisia tofauti nchini Afrika Kusini

    Kifo cha FW De Klerk chaibua hisia tofauti nchini Afrika Kusini

    Nov 12, 2021 04:23

    Kifo cha rais wa mwisho mweupe wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Frederik Willem (FW) de Klerk kimeibua hisia tofauti baina ya raia na wanasiasa ndani na nje ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS