Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Walioambukizwa corona Afrika wapindukia milioni moja

    Walioambukizwa corona Afrika wapindukia milioni moja

    Aug 07, 2020 06:37

    Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona barani barani Afrika imepindukia milioni moja huku karibu ya nusu walioambukizwa wakiwa Afrika Kusini.

  • Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka Afrika, yapindukia 800,000

    Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka Afrika, yapindukia 800,000

    Jul 27, 2020 02:43

    Maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona barani Afrika yanaongezeka kwa kasi na hadi kufikia Jumapili waliokuwa wameabukizwa ugonjwa huo barani humo walikuwa ni 828,214.

  • Wagonjwa wa COVID-19 wapindukia laki saba barani Afrika

    Wagonjwa wa COVID-19 wapindukia laki saba barani Afrika

    Jul 19, 2020 19:58

    Idadi ya wagonjwa wa COVID-19 waliothibitishwa hadi kufikia jana asubuhi barani Afrika walikuwa ni laki saba na 1,573. Hayo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa Afrika (CDC).

  • Janga la corona kusababisha watu milioni 50 Afrika kukumbwa na umaskini

    Janga la corona kusababisha watu milioni 50 Afrika kukumbwa na umaskini

    Jul 10, 2020 03:08

    Watu milioni 50 katika nchi za Afrika yumkini wakatumbukia katika lindi la umaskini wa kupindukia kutokana na makali ya janga la corona.

  • Kesi za corona zilizothibitishwa barani Afrika zapindukia 500,000

    Kesi za corona zilizothibitishwa barani Afrika zapindukia 500,000

    Jul 09, 2020 11:00

    Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia leo Alkhamisi ni zaidi ya laki tano.

  • Rekodi mpya walioambukizwa COVID-19 Afrika, tahadhari yatolewa

    Rekodi mpya walioambukizwa COVID-19 Afrika, tahadhari yatolewa

    Jun 27, 2020 03:47

    Idadi kubwa zaidi ya walioambukizwa COVID-19 au corona barani Afrika imeripotiwa Ijumaa huku tahadahri ikitolewa kuwa ugonjwa huo unaenea kwa kasi barani humo.

  • Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Jun 19, 2020 23:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ameutuhumu Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa unapania kuchochea harakati za uasi dhidi ya serikali katika nchi za Afrika.

  • Indhari kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya COVID-19 barani Afrika

    Indhari kuhusu ongezeko la kasi la maambukizi ya COVID-19 barani Afrika

    Jun 16, 2020 00:27

    Mtaalamu mmoja amebainisha wasi wasi wake kuhusu ongezeko la maamubukizi ya ugonjwa wa COVID-19 barani Afrika.

  • UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi

    UN: Athari za corona kuua watoto 50,000 Afrika Kaskazini na Asia Magharibi

    Jun 15, 2020 10:40

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, yumkini athari za ugonjwa wa COVID-19 zikaua makumi ya maelfu ya watoto katika nchi za kaskazini mwa Afrika na Asia Magharibi.

  • Nchi 43 za Afrika zafunga mipaka zikihofia wimbi la pili la corona

    Nchi 43 za Afrika zafunga mipaka zikihofia wimbi la pili la corona

    Jun 14, 2020 22:39

    Nchi 43 za Afrika zimefunga mipaka yao kutokana na kasi ya juu ya maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 (corona) barani humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS