-
AU: Jamii ya kimataifa ichangie ustawi wa viwanda Afrika
Nov 17, 2019 04:09Umoja wa Afrika umetoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuwa na mchango endelevu na amilifu katika ustawi wa viwanda katika nchi za Afrika.
-
Rais wa Guinea amfuta kazi Waziri wa Usalama baada ya mauaji ya waandamanaji
Nov 12, 2019 23:03Rais Alpha Conde wa Guinea Conakry amemfuta kazi Waziri wa Usalama wa nchi hiyo kufuatia mauaji ya waandamanaji wanaopinga mpango wa kiongozi huyo wa kutaka kubadili katiba ya nchi ili aweze kugombea kiti cha rais wa kwa muhula wa tatu mfululizo.
-
Chama tawala Botswana chashinda uchaguzi mkuu
Oct 25, 2019 06:37Chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) kimeshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo baada ya kupata viti 29 vya Bunge ambavyo ni sawa na asilimia 51 ya kura.
-
Mamia waandamana Guinea Conakry dhidi ya Rais wa nchi hiyo
Oct 24, 2019 23:20Maelfu ya wananchi wa Guinea Conakry wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo katika fremu ya upinzani dhidi ya mpango wa rais Alpha Conde wa nchi hiyo wa kutaka kugombea nafasi hiyo kwa mara ya tatu mfululizo.
-
Putin ataka kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya Russia na Afrika
Oct 23, 2019 23:18Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa mwito wa kuongezeka maradufu mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi yake na nchi za bara Afrika.
-
Badala ya ubabe na unyonyaji wa Magharibi, Russia yataka kuamiliana na Afrika kwa msingi wa maslahi ya pande mbili
Oct 23, 2019 03:14Russia, ambayo ni moja ya madola makubwa duniani imeukosoa muelekeo na muamala wa Magharibi kwa bara la Afrika ambao siku zote huwa ni wa unyonyaji na utumiaji mabavu na badala yake inataka kustawisha uhusiano wake na nchi za bara hilo kwa msingi wa kuzingatia manufaa na maslahi ya pande zote mbili.
-
AU: Ebola imeua watu 2,150 kufikia sasa Kongo DR
Oct 22, 2019 04:28Umoja wa Afrika umesema idadi ya watu walioaga dunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa homa hatari ya Ebola imefikia 2,150 tangu maradhi hayo yaripuke tena katika nchi hiyo Julai mwaka jana.
-
Kesi ya rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma yaendelea
Oct 15, 2019 10:00Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema atakata rufaa kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kukataa kuzuia daima mashtaka dhidi yake katika kesi ya ufisadi katika mauzo ya silaha zilizokuwa na thamani ya dola bilioni mbili.
-
Kanisa la Methodist Afrika lajiunga na harakati ya kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni
Oct 12, 2019 08:45Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa Palestina ametangaza kuwa Kanisa la Methodist la Kusini mwa Afrika (MCSA) limejiunga na Harakati ya Kimataifa ya Kususia na Kuiwekea Vikwazo Israel- Boycott, Divestment and Sanctions- (BDS), kutokana na jinai za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.
-
AU: Utamaduni wa kusoma uimarishwe katika nchi za Afrika
Sep 22, 2019 04:04Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kufanywa kampeni ya kuhimiza utamaduni wa kusoma miongoni mwa vijana katika nchi za Afrika.