-
AU: Vijana wahusishwe ipasavyo katika vita dhidi ya ugaidi
Jul 11, 2019 21:57Mjumbe wa Umoja wa Afrika ametoa mwito wa kushirikishwa vijana barabara katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Uchumi wa nchi za Afrika kufikia kiwango cha dola trilioni 3.4
Jul 08, 2019 03:41Uchumi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) unatazamiwa kuimarika na kufikia kiwango cha dola trilioni 3.4.
-
Nchi za Afrika Magharibi kuzindua sarafu ya pamoja itakayoitwa 'ECO'
Jun 30, 2019 03:17Nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) zimeafikiana kuiita sarafu mpya itakayotumiwa na nchi hizo 'ECO'.
-
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lakutana Morocco
Jun 25, 2019 08:30Mkutano wa 12 wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika unaendelea mjini Skhirat nchini Morocco.
-
Mgombea wa chama tawala ajitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais Mauritania
Jun 23, 2019 09:11Mgombea urais wa chama tawala nchini Mauritania Mohammad Ould Ghazouani amejitangaza mshindi katika uchaguzi huo uliofanyika jana.
-
Ramaphosa: Afrika Kusini inakabiliwa na mgogoro wa ukosefu wa ajira kwa vijana
Jun 17, 2019 08:28Rais Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa ukosefu wa ajira miongoni mwa tabaka la vijana.
-
Aghalabu ya nchi za Afrika haziungi mkono ubaradhuli
Jun 10, 2019 03:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema zaidi ya nusu ya nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika haziungi mkono ubaradhuli na uhusiano wa watu wa jinsia moja.
-
Ufaransa yafanya njama za kuhalalisha siasa zake zilizofeli barani Afrika
May 29, 2019 06:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa, nchi za eneo la Sahel Africa zisikae muda wote kusubiri msaada wa wanajeshi wa Ufaransa.
-
WHO kutangaza karibuni kuwa Afrika imetokomeza ugonjwa wa Polio
May 29, 2019 03:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa huenda likatangaza karibuni hivi kuwa bara Afrika halina tena ugonjwa wa kupooza wa Polio.
-
Umoja wa Mataifa walaani hujuma kanisani Burkina Faso
May 13, 2019 23:47Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio lililofanyika Jumapili kwenye kanisa Katoliki Kaskazini mwa Burkina Faso ambalo limepelekea watu sita wapoteze maisa.