Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Ripoti: Marekani ina vituo vya kijeshi vya siri katika nchi za Afrika

    Ripoti: Marekani ina vituo vya kijeshi vya siri katika nchi za Afrika

    Dec 05, 2018 12:58

    Tovuti ya habari ya Intercept imefichua habari za kuwepo kambi za kijeshi za siri za Marekani katika nchi kadhaa za Afrika.

  • Ujerumani kuvutia miradi zaidi ya sekta binafsi barani Afrika na kwingineko katika uga wa tabianchi

    Ujerumani kuvutia miradi zaidi ya sekta binafsi barani Afrika na kwingineko katika uga wa tabianchi

    Dec 03, 2018 12:01

    Gerd Mueller Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani amesema kuwa wiki hii nchi hiyo itaweka wazi ubunifu wake katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadliko ya tabianchi kwa ajili ya kuvutia miradi zaidi ya uwekezaji wa sekta binafsi barani Afrika na kwingineko.

  • UN: Nchi za Afrika zinapora bajeti inayotengwa kwa ajili ya wakimbizi

    UN: Nchi za Afrika zinapora bajeti inayotengwa kwa ajili ya wakimbizi

    Nov 30, 2018 11:40

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, baadhi ya nchi za Kiafrika zinapora na kutumia vibaya fedha zinazotengwa kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi barani humo.

  • Juhudi za kupambana na ugaidi barani Afrika

    Juhudi za kupambana na ugaidi barani Afrika

    Nov 29, 2018 07:51

    Kufuatia kushamiri na kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali duniani hasa Afrika, nchi washiriki wa mkutano wa pili wa kimataifa wa kupambana na ugaidi uliofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers zimesisitizia ulazima wa nchi za magharibi mwa Afrika kushirikiana pamoja katika kupambana na janga hilo.

  • Nchi za Afrika zalenga kurahisisha biashara ya kikanda na kimataifa

    Nchi za Afrika zalenga kurahisisha biashara ya kikanda na kimataifa

    Nov 27, 2018 21:45

    Nchi za Afrika ambazo zinalenga kupunguza gharama, muda na urasimu wa kufanya biashara ya kikanda na kimataifa zinakutana huko Addis Ababa, Ethiopia, katika warsha ya kwanza kabisa ya Afrika kwa ajili ya kuunda kamati za kuwezesha biashara.

  • Watu wa nchi za Afrika wapinga vikali safari ya Mohammad bin Salman

    Watu wa nchi za Afrika wapinga vikali safari ya Mohammad bin Salman

    Nov 26, 2018 04:38

    Watu wa nchi kadhaa za Afrika wamebainisha malalamiko yao makali kuhusu safari ya mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad bin Salman katika nchi zao huku wakilaani vikali harakati zake za kushawishi nchi za Kiarabu ziwe na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika kushirikiana mipaka

    Nchi za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika kushirikiana mipaka

    Nov 07, 2018 13:24

    Nchi nane za Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika zimeazimia kuanzisha shirika la kiufundi la ushirikiano mipakani litakalowezesha utekelezaji wa masuala 22 kwa lengo la kuboresha ushirika na kuimarisha utendaji wa operesheni za mipakani.

  • Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti

    Bunge la Afrika lamaliza vikao vyake nchini Rwanda + Sauti

    Nov 06, 2018 03:28

    Bunge la Afrika limekamilisha vikao vyake vya wiki mbili mjini Kigali Rwanda kwa kuanzisha tunzo maalumu ya uongozi bora barani Afrika kwa hisani ya hayati Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu Sylvanus Karemera na ripoti zaidi...

  • Guterres alaani kuuawa askari wa Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Guterres alaani kuuawa askari wa Umoja wa Mataifa nchini Mali

    Oct 28, 2018 12:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji dhidi ya askari wa kusimamia amani wa umoja huo katika nchi ya magharibi mwa Afrika ya Mali.

  • Uchunguzi: Mlipuko wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha hasara ya dola bilioni 53

    Uchunguzi: Mlipuko wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha hasara ya dola bilioni 53

    Oct 24, 2018 23:04

    Virusi vya Ebola vilivyozikumba nchi za magharibi mwa Afrika hususan Sierra Leone, Guinea and Liberia mwaka 2014 vilisababisha hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni 53.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS