-
Wanariadha 13 wa Afrika 'watoweka' Australia
Apr 12, 2018 10:23Wanariadha 13 wa Afrika walioenda kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Australia wametoweka katika mazingira ya kutatanisha.
-
Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo
Apr 12, 2018 10:18Baada ya kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya nchi za Asia na Ulaya na kupata jibu kali, sasa Rais wa Marekani Donald Trump anaonekena kueelekeza vita hivyo kwa nchi za Afrika.
-
Zarif aanza safari ya kuzitembelea nchi za Afrika, Amerika ya Latini
Apr 08, 2018 03:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran leo Jumapili ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na Amerika ya Latini.
-
Netanyahu afuta makubaliano na UN kuhusu wahajiri wa Kiafrika
Apr 03, 2018 21:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amebatilisha makubaliano kati ya Tel Aviv na Umoja wa Mataifa, kuhusu kupelekwa katika nchi za Magharibi wahajiri wa Kiafrika wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
-
Askari wa Kulinda Amani wa UN waondoka Liberia baada ya miaka 15
Mar 31, 2018 10:34Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Liberia UNMIL kimefunga rasmi mlango uliofunguliwa miaka 15 iliyopita.
-
UN yaitahadharisha EU kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika
Mar 26, 2018 10:49Umoja wa Mataifa umezitahadharisha nchi za Umoja wa Ulaya kuhusu mgogoro mpya wa wakimbizi kutoka Afrika.
-
Maandamano Tel Aviv baada ya kuhani kuwatusi Waafrika kuwa ni nyani
Mar 25, 2018 10:12Watu Zaidi ya 24,000, wengi wakiwa ni wahajiri, wameandamana katika mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani kubaguliwa Waafrika.
-
Afrika Mashariki ni kati ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na majanga duniani mwaka 2017
Mar 24, 2018 03:01Ukame eneo la Afrika Mashariki na mafuriko makubwa wakati wa pepo za monsuni katika Bara Hindi ni baadhi ya mambo yaliyosababisha mwaka 2017 kuwa mwaka uliogubikwa na matukio mabaya zaidi ya hali ya hewa.
-
Kiongozi wa Kizayuni aliyefananisha Waafrika na nyani akosolewa vikali
Mar 21, 2018 10:47Kundi moja la kupambana na ubaguzi limemkosoa vikali kiongozi wa kidini wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwafaninisha watu weusi wenye asili ya Afrika na nyani.
-
WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa wa Listeriosis barani Afrika
Mar 21, 2018 03:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa unaoenea katika nchi kadhaa za Afrika wa Listeriosis unaosababishwa na utumiaji wa bidhaa za nyama.