Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • ACT Wazalendo: Maeneo ya vijijini  nchini Tanzania yametelekezwa na serikali

    ACT Wazalendo: Maeneo ya vijijini nchini Tanzania yametelekezwa na serikali

    Mar 18, 2018 13:21

    Aidha chama hicho kimeitaka serikali kuruhusu wananchi wafanye maandamano ya amani

  • Kikao cha kimataifa cha kupambana na magendo ya wahajiri huko Niger

    Kikao cha kimataifa cha kupambana na magendo ya wahajiri huko Niger

    Mar 17, 2018 23:02

    Kikao cha kimataifa cha kupambana na magendo ya wahajiri kimefanyika huko Niger kwa kuhudhuriwa na viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na wa nchi kadhaa za Ulaya. Mohammed Bazoum Waziri wa Mambo ya Ndani wa Niger amesema kwenye kikao hicho kuwa taathira za mapambano hayo zitaongezeka kwa kiasi kikubwa iwapo kutakuwepo mashirikiano ya kiusalama katika ngazi ya kitaifa na kieneo.

  • UN yaziasa nchi za Afrika zitumie gari za umeme kupunguza uchafuzi wa hewa

    UN yaziasa nchi za Afrika zitumie gari za umeme kupunguza uchafuzi wa hewa

    Mar 15, 2018 03:50

    Umoja wa Mataifa umeziasa nchi za Afrika kuelekeza sera na bajeti zao za fedha katika utumiaji wa gari za nishati ya umeme ili kupunguza uchafuzi wa hewa.

  • Bara la  Afrika  ni medani ya duru mpya ya malumbano baina ya Qatar na kundi la Kiarabu la 3+1

    Bara la Afrika ni medani ya duru mpya ya malumbano baina ya Qatar na kundi la Kiarabu la 3+1

    Mar 15, 2018 03:46

    Ushahidi unaonyesha kuwa, bara la Afrika sasa limegeuka na kuwa medani mpya ya mashindano ya kuwania ushawishi katika mgogoro unaonedelea kutokota baina ya Qatar na madola ya Kiarabu ya 3+1.

  • Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika

    Mazungumzo ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika

    Mar 09, 2018 10:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa ambako amedai kuwa nchi yake inaunga mkono mapambano ya umoja huo dhidi ya ugaidi.

  • Museveni: Wanaume wanaowapiga wake zao ni wapumbavu

    Museveni: Wanaume wanaowapiga wake zao ni wapumbavu

    Mar 08, 2018 12:55

    Nchi za Afrika zimejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, huku Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwataja kama wapumbavu, wanaume wanaowapiga wake zao.

  • Malengo ya Marekani barani Afrika

    Malengo ya Marekani barani Afrika

    Mar 08, 2018 03:50

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amewasili Addis Ababa mji mkuu wa Ethiopia ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika.

  • UNICEF: Nchi za Afrika zinaongoza kwa ndoa za utotoni

    UNICEF: Nchi za Afrika zinaongoza kwa ndoa za utotoni

    Mar 06, 2018 04:37

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema ingawaje tabia ya kuozwa kwa lazima mabinti wadogo imepungua duniani, lakini nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika kwa sasa zinaongoza kwa uozo huo.

  • Askari 5 wa AU miongoni mwa watu 16 waliouawa katika hujuma za al-Shabaab Somalia

    Askari 5 wa AU miongoni mwa watu 16 waliouawa katika hujuma za al-Shabaab Somalia

    Mar 04, 2018 04:46

    Imerifiwa kuwa, wanajeshi watano wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom ni miongoni mwa watu 16 waliouawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab karibu na Mogadishu.

  • Amisom: Tumekomboa 80% ya maeneo yaliyokuwa chini ya al-Shabaab Somalia

    Amisom: Tumekomboa 80% ya maeneo yaliyokuwa chini ya al-Shabaab Somalia

    Mar 02, 2018 04:13

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kimesema kimefanikiwa kukomboa asilimia 80 ya maeneo ambayo yalikuwa kwenye makucha ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS