-
Matatizo ya wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania
Feb 18, 2016 21:57Karibu wakimbizi 130,000 kutoka Burundi wameingia Tanzania kufuatia mgogoro unaoendelea ndani ya nchi yao.
-
Nigeria yatahadharisha kuhusu kuzidi kupenya kundi la Boko Haram barani Afrika
Feb 15, 2016 21:37Mkuu wa Kituo cha Upashaji Habari cha Taifa cha Nigeria ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujitanua kundi la Boko Haram barani Afrika.
-
Rais wa Ghana awasili Iran
Feb 13, 2016 22:21Rais John Dramani Mahama wa Ghana amewasili Tehran kwa ziara rasmi ambapo anatazamiwa kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini.
-
Wanawake na watoto, wahanga wakuu wa migogoro ya Afrika
Feb 13, 2016 11:52Wanawake na watoto wametajwa kuwa ndiyo wahanga wakuu wa migogoro inayozikumba nchi kadhaa za Afrika.
-
Taathira ya Mapinduzi ya Kiislamu imeenea Afrika
Feb 10, 2016 11:53Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamepelekea kuwepo mwamko wa Kiislamu miongoni mwa watu wengi Afrika na hivyo kuwawezesha kuondoka katika mkwamo.
-
Unicef yatahadharidha kuhusu kuendelea kwa vita barani Afrika
Feb 09, 2016 11:29Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetahadharisha kuhusu wimbi jipya la kutumiwa watoto wadogo na kuendelea vita katika nchi kadhaa za Kiafrika.
-
Ufaransa na Ivory Coast zasisitiza kuimarishwa ushirikiano
Feb 05, 2016 21:52Ufaransa na Ivory Coast zimesisitiza udharura wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili. Rais François Hollande wa Ufaransa na mwezake wa Ivoy Coast, Alassane Ouattara ambao wamekutana mjini Paris wameeleza pia wasiwasi wao kuhusu harakati za kigaidi hususan katika eneo la magharibi mwa Afrika.