-
Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani
Jul 06, 2019 08:25Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma kutokana na vita vya kibiashara vya Marekani, vilivyochechewa na wivu.
-
Madada wa Afrika Kusini waishtaki Saudia UN kwa kuwazuilia na kuwatesa
Jun 26, 2019 02:16Madada wawili wa Afrika Kusini ambao wamewahi kufungwa jela bila kufunguliwa mashitaka nchini Saudi Arabia wamewasilisha malalamiko yao kwa Umoja wa Mataifa.
-
Kuapishwa rais wa Afrika Kusini na mustakbali wa nchi hiyo
May 27, 2019 02:39Baada ya kupita karibu siku 20 tokea kufanyika uchaguzi mkuu wa bunge nchini Afrika Kusini ambapo chama tawala cha African National Congress ANC kiliibuka mshindi, bunge hilo hatimaye limeidhinisha na kumuapisha Cyril Ramaphosa, rais wa sasa wa nchi hiyo kuhudumia kipindi kingine cha miaka mitano.
-
Wabunge Afrika Kusini wamchagua tena Ramaphosa kuwa rais
May 22, 2019 23:59Wabunge Afrika Kusini wamemchagua tena Cyril Ramaphosa kuwa rais wa nchi hiyo wiki mbili baada ya chama tawala ANC kushinda katika uchaguzi wa bunge.
-
Chama tawala chashinda uchaguzi wa Afrika Kusini
May 13, 2019 00:29Baada ya kura za uchaguzi wa Bunge la Afrika Kusini kumalizika kuhesabiwa, chama tawala cha African National Congress ANC, kwa mara nyingine kimefanikiwa kupata wingi wa vita katika bunge hilo.
-
Chama cha ANC chasherehekea ushindi Afrika Kusini
May 12, 2019 23:03Maelefu ya wafuasi wa chama tawala nchini Afrika Kusini cha ANC Jumapili walimiminika katika mitaa ya mji wa Johannesburg na maeneo mengine wakisherehekea ushindi wa bunge uliofanyika wiki hii ambapo chama hicho kimetangazwa kuwa mshindi licha ya umashuhuri wake kupungua.
-
Afrika Kusini yaendesha uchaguzi wa rais na bunge, mamilioni waelekea kwenye masanduku ya kura
May 08, 2019 03:33Wananchi wa Afrika Kusini zaidi ya milioni 26 wameajiandikisha kushiriki uchaguzi huo wa leo ambapo kwa kiasi kikubwa chama tawala cha ANC kinatazamiwa kuibuka na ushindi.
-
Shirika moja la Afrika Kusini: Hatufungwi na mipaka yoyote katika kushirikiana na Iran
May 03, 2019 09:52Mkurugenzi mmoja wa mauzo wa shirika la JDA la Afrika Kusini amesema kuwa, licha ya kuweko vikwazo dhidi ya Tehran, lakini hakuna mipaka yoyote inayokwamisha ushirikiano wa moja kwa moja baina yake na mashirika mbalimbali ya Iran.
-
HRW yataka kukamatwa walioshambuliwa wahamiaji nchini Afrika Kusini
Apr 16, 2019 09:47Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito wa kufunguliwa mashitaka watu waliohusika na mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
-
Rais mteule wa Afrika Kusini kuapishwa Mei 25, Siku ya Afrika
Apr 14, 2019 10:16Ofisi ya Rais nchini Afrika Kusini imetangaza kuwa sherehe za kuapishwa kwa rais mteule zitafanyika Mei 25 ambayo huadhimsihwa duniani kote kama Siku ya Afrika.