-
UNHCR: Watu 6 wameuawa katika hujuma dhidi ya wahajiri Afrika Kusini
Apr 01, 2019 10:39Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limeeleza wasiwasi wake kutokana na wimbi la kushambuliwa raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
-
Afrika Kusini yaitisha mkutano na mabalozi wa Afrika baada wageni kushambuliwa
Mar 31, 2019 10:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Lindiwe Sisulu anatarajiwa kuitisha mkutano wa dharura na mabalozi wa Afrika kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya raia wa kigeni mjini Durban na Polokwane.
-
Afrika Kusini yalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Mar 27, 2019 03:10Serikali ya Afrika Kusini imelaani kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Rais wa Afrika Kusini asema haiwezekani kuzuia tena mageuzi ya ardhi
Mar 24, 2019 10:26Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema wazungu wanaomiliki vipande vikubwa vya ardhi hawawezi tena kuendelea akupinga sera za marekebisho ya ardhi ambazo serikali yake imeazimia kutekeleza.
-
Mafuriko yaendelea kuua katika nchi za kusini mwa Afrika
Mar 14, 2019 21:48Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Malawi.
-
Afrika Kusini kupunguza uhusiano wake na Israel, yawaunga mkono Wapalestina
Mar 09, 2019 11:45Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake inapanga kupunguza hadhi ya ubalozi wake katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kutokana na ukiukaji wa haki za Wapalestina unaofanywa na utawala haramu wa Israel.
-
Kamati ya Pamoja ya Iran na Afrika Kusini; kikao kwa ajili ya mashauriano ya kisiasa na kiuchumi
Mar 09, 2019 08:17Kamati ya Tisa ya Kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini imefanya kikao nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na Sayyid Abbas Araqchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Bi Reginah Mhaule, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Anayehusika na Masuala ya Ushirikiano na Uhusiano wa Kimataifa.
-
Afrika Kusini ina hamu ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran
Mar 08, 2019 04:32Spika wa Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini ameeleza juu ya utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Khumalo: Afrika Kusini inafuatilia kupanuliwa mabadilishano ya kibiashara kati yake na Iran
Feb 22, 2019 04:33Balozi wa Afrika Kusini hapa mjini Tehran amesema kuwa, kuna uwezo mkubwa mno katika sekta mbalimbali nchini Iran hususan katika uga wa madini, utalii na teknolojia ya mawasiliano na kwamba, nchi yake inaweza kuyatumia hayo kwa ajili ya kupanua zaidi ushirikiano kati yake na Iran.
-
Afrika Kusini: Kujiondoa Marekani JCPOA hakuathiri uhusiano wetu na Iran
Feb 21, 2019 12:12Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran amesema hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA haitapunguza ushirikiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga za uchumi, biashara na utamaduni.