Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ajali, tukio

  • Waliofariki dunia klabuni Jamhuri ya Dominika wafikia 218

    Waliofariki dunia klabuni Jamhuri ya Dominika wafikia 218

    Apr 11, 2025 02:03

    Maafisa wa serikali katika Jamhuri ya Dominika wamesema idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mkasa wa kuporomoka kwa paa katika ukumbi wa starehe wa Jet Set katika mji mkuu Santo Domingo imepindukia 200, huku matumaini ya kupata manusura yazidi kukififia.

  • Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Watu 14 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani nchini Kenya

    Feb 05, 2023 11:33

    Watu wasiopungua 14 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Lodwar- Kakuma eneo la Kakwamunyen, kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya.

  • Senegal yaomboleza vifo vya makumi ya watu katika ajali ya barabarani

    Senegal yaomboleza vifo vya makumi ya watu katika ajali ya barabarani

    Jan 09, 2023 04:09

    Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza siku 3 za maombolezo kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha vifo vya makumi ya watu mapema jana Jumapili.

  • Watu 18 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Pwani ya Kenya

    Watu 18 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Pwani ya Kenya

    Jul 09, 2022 07:31

    Watu 18 wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha gari dogo la abiria na lori katika kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya.

  • Ajali ya basi yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20 nchini Uganda

    Ajali ya basi yasababisha vifo vya watu wasiopungua 20 nchini Uganda

    May 04, 2022 14:54

    Polisi wa Uganda wamesema watu 20 wameuawa baada ya basi la abiria kuanguka kwenye shamba la chai nje ya barabara kuu magharibi mwa Uganda.

  • Ajali ya gari la waandishi habari yaua watu wasiopungua 14 Simiyu, Tanzania

    Ajali ya gari la waandishi habari yaua watu wasiopungua 14 Simiyu, Tanzania

    Jan 11, 2022 14:13

    Watu wasiopungua 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria aina ya Toyota Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.

  • Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden

    Kuanza Mkutano wa Demokrasia huko Marekani na madai ya uongo ya Biden

    Dec 11, 2021 08:17

    Baada ya makelele mengi ya kipropaganda hatimaye Mkutano wa Demokrasia ulianza siku ya Alhamisi iliyopita kwa hotuba ya Rais Joe Biden huko Washington.

  • 50 wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya kijeshi Ufilipino

    50 wapoteza maisha katika ajali ya ndege ya kijeshi Ufilipino

    Jul 05, 2021 02:48

    Kwa akali watu 50 wamepoteza maisha huku wengine wasiopungua 49 wakijeruhiwa, baada ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino kuanguka na kuteketea moto kusini mwa nchi.

  • Ajali ya treni yasababisha vifo vya makumi ya watu nchini Pakistan

    Ajali ya treni yasababisha vifo vya makumi ya watu nchini Pakistan

    Jun 07, 2021 11:36

    Takriban watu 40 wameaga dunia na zaidi ya 120 wamejeruhiwa baada ya kugongana kwa treni mbili karibu na mji wa kusini mwa Pakistani wa Daharki.

  • Watu wasiopungua 15 wafariki dunia, mamia ya nyumba yateketea, volcano ya Goma

    Watu wasiopungua 15 wafariki dunia, mamia ya nyumba yateketea, volcano ya Goma

    May 24, 2021 08:02

    Watu karibu 15 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana mlipuko wa volkano uliotokea katika Mlima wa Nyiragongo, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS