-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 14:16Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
Makumi wapoteza maisha kwenye mkasa wa moto kiwandani Misri
Mar 12, 2021 02:42Makumi ya watu wamefariki dunia huku wengine wengi wakijeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyokikumba kiwanda kimoja cha nguo katika mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Watu zaidi ya 60 wapoteza maisha katika ajali ya boti DRC
Feb 16, 2021 07:55Watu wasiopungua 60 wamefariki dunia kufuatia ajali ya boti magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
UN: Watu 3,700 wanapoteza maisha kila siku katika ajali za barabarani
Nov 16, 2020 03:04Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu kuongezeka idadi ya vifo vinavyosababishwa na ajali za barabarani duniani na kubainisha kuwa, watu 3,700 wanaaga dunia kila siku katika ajali hizo.
-
Magufuli asikitishwa na 'ajali' ya moto iliyoua wanafunzi 10 Tanzania
Sep 15, 2020 07:48Rais John Magufuli wa Tanzania ametuma salamu za rambirambi kwa uongozi wa Shule ya Kiislamu ya Byamungu iliyopo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera kufuatia mkasa wa moto uliosababisha maafa. Rais Magufuli ametoa mkono wa pole kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa wanafunzi 10 waliopoteza maisha katika ajali hiyo ya usiku wa kuamkia jana.
-
Makumi wahofiwa kufa maji katika ajali ya kuzama boti Kongo DR
Sep 16, 2019 11:55Makumi ya watu wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya kuzama boti iliyotokea katika kijiji cha Mambutuka, eneo la Maluku huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Basi labingiria bondeni na kuua watu 43 nchini India
Sep 11, 2018 14:09Kwa akali watu 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la abiria kubingiria kwenye bonde, katika wilaya ya Jagtial kusini mwa India.
-
Rais Kenyatta aagiza uchunguzi baada ya ajali kuua watu 20 Kenya
May 13, 2017 13:53Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameagiza uchunguzi kufanyika baada ya watu 20 kupoteza maisha Jumamosi asubuhi kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika barabara ya Nairobi-Nakuru.