-
Abdollahian aiambia US: Acheni mauaji ya kimbari, undumakuwili Gaza
Nov 07, 2023 14:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo kwa upande mmoja inadai kuwa inataka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, na kwa upande mwingine inaendelea kuunga mkono utawala wa Kizayuni ambao unaendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililo chini ya mzingiro.
-
Amir Abdollahian: Utawala wa Kizayuni unafanya mauaji ya kimbari huko Gaza
Oct 27, 2023 05:51Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Safari ya kieneo ya Amir Abdollahian inayoangazia vita vya Gaza
Oct 13, 2023 11:37Huku utawala wa Kizayuni ukiendeleza hujuma na vita vyake vya jinai dhidi ya watu wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza, Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasisitiza ulazima wa kukomeshwa jinai hizo za Wazayuni kwa kufanya safari katika nchi kadhaa za eneo.
-
Abdollahian: Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria hadi kutokomeza kabisa ugaidi
Aug 31, 2023 12:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haja ya kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Syria na kusisitiza kwamba, Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria katika kukamilisha kampeni yake dhidi ya ugaidi.
-
Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara
Aug 21, 2023 04:50Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye karibuni ametembelea Saudi Arabia kwa mwaliko rasmi wa Faisal bin Farhan, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, siku ya Ijumaa alikutana na kuzungumza na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mjini Jeddah.
-
Abdollahian: Iran na Afrika Kusini zina fursa nyingi za kupanua ushirikiano
Aug 10, 2023 13:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema, licha ya vikwazo vya upande mmoja na haramu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika fremu ya sheria za kimataifa, daima kuna fursa mbalimbali kwa Iran na Afrika Kusini za kupanua uhusiano.
-
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Qatar ni ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani
Jun 20, 2023 10:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran ameonana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na wamejadiliama njia za kustawisha zaidi uhusiano baina yao na pia ushirikiano na uhusiano mzuri wa nchi za eneo hili zima.
-
Mahusiano ya pande mbili ya Iran na Iraq; mhimili wa mazungumzo ya Amir-Abdollahian mjini Baghdad
Feb 24, 2023 13:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa nchi hiyo akiwemo Rais na Waziri Mkuu na kujadili uhusiano wa pande mbili na wa kieneo.
-
Amir- Abdollahian aunga mkono uwepo wa wanawake wanadiplomasia katika nyadhifa za uongozi
Jan 10, 2023 11:52Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amebainisha wazi mtazamo wa chombo hicho cha diplomasia cha nchi kuhusu wanawake kuhudumu katika wizara hiyo, na kusisitiza mtazamo wa wizara hiyo katika kusaidia na kuwezesha uwepo wa ufanisi zaidi wa wanadiplomasia wa kike katika nyadhifa za uongozi ndani na nje ya nchi. • Feedback
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Oman
Dec 28, 2022 13:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana katika nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ofisi ya Mfalme wa Oman, wakajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yenye maslahi kwa pande mbili.