-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuungana kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 29, 2024 06:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuungana na kushikamana katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon.
-
Abbas Araghchi: Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni utaendelea hadi ukombozi wa Palestina
Sep 21, 2024 12:13Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni yataendelea hadi ukombozi wa wananchi wa Palestina utakapopatikana.
-
Kuunga mkono Iran maamuzi ya wananchi na muqawama wa Palestina
Sep 04, 2024 12:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano na uamuzi wowote wa makundi ya muqawama na wananchi wa Palestina.
-
Kipaumbele cha sera za kigeni za Iran; nchi jirani, eneo na muqawama
Aug 25, 2024 12:15Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika, Amerika ya Latini na Asia Mashariki.
-
Iran yafafanua mchakato wa kuachiwa huru raia wake 3 kwa kubadilishana na jasusi wa Israel
Nov 27, 2020 12:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ametoa ufafanuzi kuhusu namna raia watatu wa Iran walivyoachiwa huru mkabala na Jamhuri ya Kiislamu kumwachia jasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Araqchi: Iran haitaacha haki yake isiyo na shaka kwa sababu tu ya ubabe wa Marekani
Jul 27, 2020 03:41Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani ni haki ya wazi na isiyo na shaka ya wananchi wa Iran na akasisitiza kuwa: Licha ya kuitolea gharama kubwa kutokana na vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu haitaiacha haki yake hiyo ya wazi kabisa kwa sababu tu ya ubabe wa Marekani.
-
Kusajiliwa kanali ya kifedha ya Ulaya; hatua iliyochelewa lakini inayotia matumaini
Feb 01, 2019 12:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha kuzinduliwa mfumo maalumu wa kifedha wa nchi za Ulaya unaolenga kudumisha ushirikiano wa kiuchumi na Iran, ikiwa ni hatua ya kwanza iliyochukuliwa na nchi hizo kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA.
-
Araqchi: Kusajiliwa mfumo wa mabadilishano ya kifedha ni hatua ya kwanza ya Ulaya katika kutekeleza ahadi kwa Iran
Jan 31, 2019 14:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: "Kusajiliwa mfumo wa mawasiliano ya kifedha ni hatua ya kwanza ya Ulaya katika kutekeleza ahadi kwa Iran, na matumaini yetu ni kwamba mfumo huo utatekelezwa kikamilifu."
-
Maendeleo yamepatikana katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Ulaya
May 28, 2018 07:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika kipindi cha wiki mbili zilizopita kumepatikana maendeleo mazuri katika mazungumzo baina ya Iran na nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, lakini bado matoeko yanayofaa hayajapatikana.
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 06:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.