-
Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 31, 2018 15:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.
-
Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)
Nov 16, 2017 07:44Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimejengeka katika msingi wa kuleta amani, uthabiti na utulivu. Iran inafualitia sera za kupunguza migogoro na malumbano katika eneo na inashiriki katika mipango yote yenye kufikia lengo hilo.
-
Araqchi: Hatua ya Kongresi ya Marekani ni mwendelezo wa uadui wa Washington dhidi ya Iran
Jul 30, 2017 07:56Mkuu wa timu ya Iran ya kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) amesema kuwa, hatua ya hivi karibuni ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha vikwazo vipya dhidi ya Iran ni hatua ya kiuadui na chuki dhidi ya Tehran.
-
Araqchi: Mazingira yaliyojengwa na serikali ya Trump kuhusiana na JCPOA hayakubaliki
Apr 26, 2017 02:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema serikali mpya ya Marekani imejenga anga na mazingira ya utata, shaka na mkanganyo kuhusiana na hatima ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati
Feb 13, 2017 17:19Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.
-
Araqchi: Kuna udharura wa kuweko ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya kiusalama
Jan 25, 2017 14:48Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuweko ushirikiano baina ya mataifa mbalimbali katika uga wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na aina mbalimbali ya vitisho vya kiusalama.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zizuie Waislamu kudhulumiwa duniani
Jan 19, 2017 07:55Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezitaka nchi za Kiislamu zisikubali wala kuvumilia kuona Waislamu wakikandamizwa na kudhulumiwa duniani.
-
Araqchi: Marekani na baadhi ya nchi zimekuwa zikikwamisha utekelezwaji wa JCPOA
Jan 15, 2017 14:32Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Tehran imekuwa ikikabiliwa na ukiukwaji wa ahadi, kigugumizi, siasa za ucheleweshaji mambo na chuki za Marekani na baadhi ya nchi katika utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kamisheni ya pamoja ya JCPOA yachunguza ukiukaji ahadi wa Marekani
Jan 11, 2017 07:09Kikao cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika kiwango cha Manaibu Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni kilichoitishwa kwa takwa la Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa makubaliano hayo uliofanywa na Marekani kimemalizika huko Vienna Austria kwa kutolewa taarifa.
-
Iran yataka ifidiwe baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia
Jan 11, 2017 04:08Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema hatua ya Bunge la Kongresi la Marekani kuongeza kwa muda wa miaka mingine kumi Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) ni ukiukaji wa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 na kwa msingi huo Tehran inapasa ifidiwe kutokana na ukiukaji huo.