-
Mazungumzo ya Amir-Abdollahian na viongozi wa Armenia
Dec 28, 2023 04:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran aliyeko safarini nchini Armenia amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.
-
Rais Raisi: Iran inapinga mabadiliko yoyote katika mipaka ya eneo
Sep 10, 2023 04:35Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga vikali aina yoyote ya uzushaji mivutano na kubadilishwa mipaka ya kihistoria ya eneo hili na akabainisha kwamba Tehran iko tayari kutoa mchango wa kuzuia kufanywa mabadiliko yoyote katika hali ya jiopolitiki ya eneo.
-
Iran yasisitiza sera zake za kuwa na uhusiano na ujirani mwema na majirani zake.
Nov 11, 2022 06:49Nasser Kanaani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huku akijibu madai ya hivi karibuni ya Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan kuhusiana na eti uungaji mkono wa Iran kwa Armenia, amesisitiza kuwa sera kuu za Iran zimejengeka katika msingi wa kuwa na ujirani mwema na kupanua mahusiano na majirani wake wote na kuwa kuimarisha uhusiano na mmoja wa majirani hao hakuna maana ya kufanya uadui na majirani wengine.
-
Amir-Abdollahian: Mienendo ya Marekani ni ya kinafiki
Oct 23, 2022 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wanazungumza jambo moja na kutenda vingine, na mara nyingi hutafuta hutaka kujionesha mbele ya vyombo vya habari.
-
Iran: Hatutaipatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo
Oct 22, 2022 12:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Iran inachukua hatua kwa kutumia mantiki na kuchunga mistari myekundu ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na haitapatia Marekani fursa yoyote ya ziada katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo.
-
UN yatiwa hofu na vita vipya kati ya Azerbaijan na Armenia vilivyoua watu 100
Sep 14, 2022 03:19Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema anatiwa wasiwasi na ripoti za kuibuka mapigano mapya baina ya wanajeshi wa Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia, yaliyopelekea kuuawa makumi ya askari wa pande zote mbili.
-
Rais wa Iran: Zichukuliwe hatua kuzuia kupenya Israel katika eneo la Asia Magharibi
Jun 02, 2022 10:12Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua madhubuti ili kuzuia kupenya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kukiukwa makubaliano ya kusitisha vita ya Moscow dakika chache baada ya kutekelezwa
Oct 12, 2020 04:52Makubaliano ya kusitisha vita baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Russia yamekiukwa dakika 5 tu baada ya kuanza kutekelezwa.
-
Taathira hasi za kuendelea vita eneo la kusini mwa Kavkazia
Oct 09, 2020 02:36Kwa kuendelea mapigano baina ya Jamhuri ya Azeribaijan na Armenia, hivi sasa pande hasimu katika vita zimepanua wigo kutoka ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuingia katika maeneo yenye umuhimu wa kiuchumi.
-
Rais Rouhani: Iran haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake
Oct 07, 2020 12:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake na kuongeza kuwa, jambo hilo halikubaliki kabisa na Tehran imewatangazia waziwazi msimamo wake huo, viongozi wa nchi zote jirani.