-
Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa mgogoro baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia
Oct 07, 2020 04:48Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro baina ya Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan unapaswa kumalizika haraka iwezekanavyo. Ameongeza kuwa, Iran iko tayari kuchukua hatua yoyote ya kutatua mgogoro baina ya Baku na Yerevan kwa mujibu wa sheria za kimataifa na mipaka inayotambuliwa rasmi ya nchi hizo mbili.
-
Azerbaijan yadai imeua maelfu ya askari wa Armenia, UN yatoa kauli
Sep 30, 2020 12:35Azerbaijan inadai kuwa imeua maelfu ya wanajeshi wa Armenia katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea siku ya Jumapili.
-
Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa
Sep 28, 2020 11:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Armenia na Azerbaijan zijizuie na zisitishe mapigano yanayoshuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea jana Jumapili.
-
Rais Rouhani: Jamii ya Kimataifa inahitaji mashirikiano ya kiuchumi ya baina ya pande kadhaa na ya kikanda
Oct 02, 2019 04:36Rais Hassan Rouhani ameashriia vikwazo chungu nzima vinavyowekwa katika uhusiano wa kiuchumi baina ya nchi, ongezeko la kila uchao la umasikini, kukosekana usalama, uhajiri na kupungua ukuaji wa uchumi duniani na akasisitiza kwa kusema: Mfumo wa Kimataifa unahitaji mashirikiano ya kiuchumi ya baina ya pande kadhaa na ya kikanda.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu ulazima wa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na Armenia
Feb 28, 2019 14:50Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia ni majirani wema na wenye uhusiano wa kihistoria.
-
Rouhani: Kuanzisha vita hakutakuwa na manufaa kwa nchi yoyote M/Kati
Oct 11, 2017 08:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Kuanzishwa vita hakutainufaisha nchi yoyote Mashariki ya Kati
Oct 11, 2017 04:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Marais wa Iran na Armenia wasisitiza kutekelezwa hati za makubaliano ya ushirikiano
Dec 22, 2016 03:36Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia wamesisitiza kuhusu azma ya nchi mbili ya kustawisha uhusiano wa pande mbili, wa kieneo na kimataifa.
-
Iran na Armenia zasaini hati tano za ushirikiano
Dec 21, 2016 14:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia zimesaini hati tano za mapatano na makubaliano ya ushirikiano kwa kuhudhuriwa na Marais wa Iran Hassan Rouhani na mwenzake wa Armenia, Serzh Sargsyan.
-
Rouhani: Inachotaka Iran ni kuona amani na uthabiti katika eneo
Jun 06, 2016 07:23Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema fahari ya Jamhuri ya Kiislamu ni kuona amani na uthabiti vinatamalaki katika eneo la Mashariki ya Kati.