-
Mbunge avaa mtandio Bungeni kupinga marufuku ya hijabu Austria
May 18, 2019 14:37Mbunge mmoja wa kujitegemea huko Austria amevaa mtandio kichwani ndani ya Bunge la nchi hiyo kulalamikia na kupinga muswada tata wa sheria inayotaka kupiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa mabinti wa Kiislamu wa shule za msingi katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu
Apr 04, 2019 02:35Bunge la Australia limepiga kura kwa kishindo kupasisha hoja ya kumlaani na kumkosoa Seneta mwenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia, kutokana na matamshi yake ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu baada ya shambulizi la kigaidi la mwezi uliopita nchini New Zealand.
-
Kansela wa Austria: Gaidi aliyeua Waislamu New Zealand alikuwa na uhusiano wa kifedha na wenye kuuchukia Uislamu wa Austria
Mar 28, 2019 04:46Kansela wa Austria, Sebastian Kurz amethibitisha kuwepo mahusiano ya kifedha kati ya gaidi aliyehusika na shambulizi la kigaidi dhidi ya Waislamu nchini New Zealand pamoja na kundi la mrengo wa kulia lenye kuchupa mipaka la 'Harakati ya Kupiga Vita Wahamiaji' nchini humo.
-
Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran
Mar 26, 2019 03:08Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Iran na kupelekea kwa akali watu 19 kufariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa, balozi za nchi mbalimbali hapa Tehran zimetoa mkono wa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao walioaga dunia katika maafa haya ya mafuriko.
-
Rais wa Austria: Ulaya isikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump kuhusu Iran
Mar 19, 2019 15:55Rais Alexander Van der Bellen wa Austria amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran yaliyofikiwa mwaka 2015 na vitisho alivyotoa vya kuyawekea vikwazo mashirika na makampuni yanayofanya biashara na Tehran, na kusisitiza kuwa nchi za Ulaya zisikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump.
-
Waustria waandamana kupinga sera za kibaguzi dhidi ya Uislamu
Mar 18, 2019 01:17Maelfu ya wakazi wa mji mkuu wa Austria, Vienna wamefanya maandamano wakipinga sera na siasa za mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu mipaka, za kibaguzi na dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
-
Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA
Jul 29, 2018 07:26Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei mwaka huu, hatua ambayo ilichukuliwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kulifuatiwa na ukosoaji mkubwa wa nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 zikiwemo nchi tatu za Troika ya Ulaya za Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Rais Rouhani: JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu
Jul 04, 2018 13:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu kwa ujumla.
-
Rouhani: Njama za Marekani za kutaka kutengwa Iran zitagonga mwamba
Jul 04, 2018 07:37Rais Hassan Rouhani amesema njama mpya za Washington za kutaka kutengwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitakuwa na gharama kubwa kwa Wamarekani na kusisitiza kuwa taifa la Iran litasimama kidete zaidi mkabala wa njama hizo.
-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 07:19Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo