-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 02:49Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo
-
Rais wa Iran aelekea Uswisi na Austria kwa ziara rasmi
Jul 01, 2018 22:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaanza safari rasmi ya kuzitembelea nchi za Uswisi na Austria kufuatia mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hizo mbili za bara Ulaya.
-
Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini
Jun 11, 2018 02:46Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu vyaongezeka sana Austria
Apr 26, 2018 11:03Kituo cha nyaraka na ushauri kuhusu masuala ya Waislamu nchini Austria kimetangaza habari ya kuongezeka sana vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu barani Ulaya.
-
Iran yataka uchunguzi kuhusu jaribio la kushambulia nyumba ya balozi wake Vienna
Mar 12, 2018 10:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaka uchunguzi wa haraka ufanyike kuhusu jaribio la kutekeleza hujuma kwa kutumia kisu katika makao ya balozi wake mjini Vienna, Austria.
-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 01:30Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.
-
Marufuku ya burqa yaanza kutekelezwa nchini Austria
Oct 01, 2017 11:51Serikali ya Austria imeanza kutekeleza rasmi marufuku ya wanawake Waislamu kuvaa hijabu inayofunika uso wote maarufu kama burqa au niqabu katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu
Sep 19, 2017 11:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ni ya kusikitisha huku akisisitiza udharura wa kuishinikiza serikali ya Myanmar ili isitishe mauaji ya kimbari na ukandamizaji dhidi ya Waislamu Warohingya.
-
Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria
Feb 01, 2017 00:51Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunuka uso wote, yaani niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
Waislamu wa Austria walalamikia mpango wa kuwazuia kuvaa Hijabu
Jan 07, 2017 12:27Waislamu wa nchi Austria wamelalamikia vikali mpango wa kuwapiga marufuku kuvaa vazi la staha la Hijabu katika maeneo ya kazi za umma.