-
Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na Marekani
Jan 24, 2025 08:35Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, njia pekee ya kukabiliana na uadui na tamaa za kupindukia za Marekani ni kuendeleza Muqawama.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Vikosi vya ulinzi vya Iran ni mihimili imara mno ya taifa
Apr 26, 2024 08:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mihimili imara mno kwa taifa na inayoiletea dini izza na heshima.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran: Iran ni nchi huru zaidi duniani
Feb 02, 2024 10:28Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa nchi huru zaidi duniani.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kundi la kigaidi la Daesh ni chombo cha Marekani na Israel
Jan 05, 2024 11:52Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amezungumzia jinai ya kigaidi ya Kerman na kukiri kundi la kigaidi la ISIS au Daesh kuhusika na hujuma hiyo na kusema: ISIS ni chombo cha Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Ayatullah Khatami: Kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Iran ya Kiislamu ni ushindi wa Mwenyezi Mungu
May 05, 2023 10:09Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ametaja kufeli Marekani katika kuziunganisha nchi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni ushindi au nusra kutoka kwa Mwenyezi Mungu na akaongeza kuwa: "Kumfuata Wali ul Amr wa Waislamu na Hujja za Kisharia ni mfano wa usaidizi wa Mwenyezi Mungu."
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kadhia ya kupewa sumu wanafunzi ifuatiliwe, wahusika waadhibiwe
Mar 10, 2023 08:05Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Idara ya Mahakama iwachukulie hatua kali waliohusika na kuwapa sumu wanafunzi.
-
Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu
Jul 29, 2022 06:20Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu.
-
Ayatullah Khatami: Lengo la azimio la IAEA dhidi ya Iran ni kutaka pointi katika mazungumzo
Jun 10, 2022 06:56Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) la kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutaka pointi na upendeleo katika mazungumzo.
-
Ayatullah Khatami: Marekani isubiri vipigo zaidi vya kudhalilisha vya Iran
Mar 25, 2022 09:57Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah ameashiria kugonga mwamba sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington ijiandae tena kushindwa kunakodhalilisha na Iran mwaka huu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Hatua za kichochezi za NATO zimeifanya hali katika eneo iwe tata
Feb 25, 2022 09:39Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehrah amesema, hatua za kichochezi zilizochukuliwa na shirika la kijeshi la NATO kwa uongozi wa Marekani zimetatanisha hali ya mambo katika eneo; na si hasha zikaifanya iwe tata zaidi.