-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Wahusika wakuu wa machafuko ya karibuni Iraq ni Marekani, Uingereza na Israel
Oct 11, 2019 10:52Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, wahusika wakuu wa machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq ni pembe tatu za shari duniani ambazo ni Marekani, Uingereza na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ayatullah Khatami: Uharamia wa Uingereza unakumbushia jinai za nchi hiyo dhidi ya watu wa Iran
Jul 26, 2019 13:00Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, uharamia wa Uingereza katika kuzuia meli ya kubeba mafuta ya Iran eneo la Jabal al Tariq, unakumbushia jinai kubwa za mkoloni huyo mkongwe dhidi ya taifa la Iran miaka iliyopita.
-
Iran: Kwa mara nyingine Marekani imedhihirisha udhalili wake
Apr 16, 2019 06:58Msemaji wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran, imedhihirisha udhalili wake wa kukabiliana na ubinaadamu na haki za msingi za kibinaadamu.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo
Dec 28, 2018 16:09Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, ameashiria safari ya kificho na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani, akifuatana na mkewe Melania nchini Iraq na kusema kuwa, licha ya Marekani kutumia matrilioni ya dola katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini rais wake amelazimika kufanya safari ya siri katika nchi moja ya eneo.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran
Aug 22, 2018 07:31Khatibu wa Sala ya Idul Adha mjini Tehran amesema Marekani inafahamu kuwa, iwapo kutajiri vita baina yake na Iran, si tu kuwa binafsi itapata hasara, bali pia muitifaki wake mkuu yaani, utawala wa Kizayuni wa Israel nao pia utapata pigo kubwa.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran asisitiza kuhusu kupambana na kila aina ya ufisadi
Jul 20, 2018 14:03Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza kuhusu kukabiliana vikali na kila aina ya ufisadi.
-
Ayatullah Khatami: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni imara katika nyanja mbalimbali
Jul 09, 2018 08:13Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran amesisitiza kuwa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfumo wenye nguvu katika sekta za kisiasa, kiuchumi na uwezo wa kiulinzi.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na Umoja wa Ulaya hakuna wa kuaminiwa kati yao
May 11, 2018 14:40Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameashiria kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kusema kuwa, hakuna yeyote wa kuaminiwa, si Marekani wala Umoja wa Ulaya na kwamba, madola ya Ulaya hayana tofauti na serikali ya Washington katika kuhalifu ahadi.
-
Ayatullah Khatami: Kuitambua rasmi Israel ni doa baya kwa Saudi Arabia
Apr 06, 2018 14:17Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatua ya Saudi Arabia ya kuutambua rasmi utawala haramu wa Israel kumeitia doa baya utawala wa Aal Saud.
-
Ayatullah Khatami: Haitoshi kulaani tu uamuzi wa Trump, bali balozi zote za Israel zinapaswa kufungwa
Dec 08, 2017 15:09Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, haitoshi kulaani tu uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, bali mataifa ya dunia yanapaswa kuwaita nyumbani mabalozi wao na kuzifunga balozi za utawala huo vamizi katika kila kona ya dunia.