-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu sababu za kuanguka utawala wa Syria
Dec 11, 2024 23:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia hadhara ya matabaka tofauti ya wananchi akigusia matukio ya hivi sasa ya Syria na eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla, na kueleza sababu za kuanguka utawala wa Syria pamoja na mikakati ya Iran katika kukabiliana na hali ya sasa.
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 07:50Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatua ya Meta ya kufuta akaunti za Ayatllah Khamenei ni kinyume cha sheria
Mar 09, 2024 09:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani hatua ya kampuni ya Meta ya kuondoa akaunti za Instagram na Facebook za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na kusema ni "kinyume cha sheria na na maadili."
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Visiwa vitatu ni sehemu isiyotenganishika na ya milele ya Iran
Dec 16, 2022 08:30Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Visiwa vitatu ni sehemu isiyotenganishika na ya milele ya Iran ya Kiislamu. Sisi hatuna muhali na mtu yeyote kuhusu umoja wa ardhi yetu na tunachukua hatua bila mzaha".
-
Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Dec 27, 2021 09:57Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Azma ya Iran na China ya kutekeleza Mapatano ya Miaka 25
Oct 17, 2021 04:37Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Watu wa China wamefanya mazungumzo ya simu na kusisitiza kuwa nchi mbili hizi zina azma ya kutekeleza 'Mapatano ya Miaka 25.'
-
Mwangwi wa chanjo ya corona ya COVIran Barekat aliyopewa Kiongozi Mkuu wa Iran
Jun 26, 2021 22:10Chanjo ya corona aliyopewa Kiongopzi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ambayo imetengenezwa na wataalanu wa ndani ya nchi ya COVIran Barekat imezusha mwangwi mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
-
Siri ya kubakia hai Jamhuri ya Kiislamu katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamuu
Jun 05, 2021 03:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa ubunifu mkubwa zaidi ya hayati Imam Ruhullah Khomeini ni Jamhuri ya Kiislamu, kwa maana ya demokrasia ya kidini ambayo imetambulika rasmi kwa anwani ya Jamhuri ya Kiislamu na kwa anwani ya mfumo wa utawala uliojengeka kwa fikra za taifa la Iran na uongozi wa Imam Khomeini.
-
Kiongozi Muadhamu: Sera za Iran kuhusu JCPOA ziko wazi
Apr 14, 2021 12:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
-
Kiongozi Muadhamu atuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi
Dec 10, 2020 04:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Ayatullah Muhammad Yazdi ambaye alikuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasomi na Wahadhiri wa Chuo cha Kidini cha Qum