Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana

    Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana

    Feb 12, 2019 23:02

    Kamati ya Kimatiafa ya Haki za Binadamu Eneo la Asia Magharibi imesema hali ya haki za binadamu inazidi kuwa mbaya nchini Bahrain ambapo ukoo wa Aal Khalifa ambao unatawala nchi hiyo umehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.

  • Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain waharibu nembo za Bibi Fatwimah (as)

    Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain waharibu nembo za Bibi Fatwimah (as)

    Feb 09, 2019 09:00

    Katika usiku wa kuamkia siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Bibi Fatwimatu az-Zahraa (as) binti ya Mtume Mtukufu (saw), vibaraka wa utawala kandamizi wa Aal Khalifa nchini Bahrain wameharibu na kuondoa nembo zote zilizokuwa zimewekwa na waombolezaji wa nchi hiyo, kwa mnasaba huu mchungu wa kukumbuka kifo cha Bibi huyo mtukufu (as).

  • UN yasikitika kufungwa maisha jela viongozi wa upinzani Bahrain

    UN yasikitika kufungwa maisha jela viongozi wa upinzani Bahrain

    Feb 01, 2019 23:17

    Umoja wa Mataifa umetilia shaka mchakato wa kesi, baada ya mahakama ya Bahrain kuwahukumu kifungo cha maisha jela viongozi wa upinzani nchini humo.

  • Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Bahrain atiwa nguvuni tena masaa 24 tangu alipotolewa jela

    Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Bahrain atiwa nguvuni tena masaa 24 tangu alipotolewa jela

    Jan 31, 2019 11:24

    Utawala wa Aal Khalifa umemtia nguvuni tena Sheikh Majid Mash'al, mwanazuoni wa Kishia na mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kiislamu wa Bahrain, baada ya kupita masaa 24 tu tangu alipotolewa jela.

  • EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman

    Jan 29, 2019 10:34

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali hatua ya Mahakama ya Juu ya Bahrain ya kuidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya shakshia mashuhuri wa kidini na kisiasa nchini humo, Sheikh Ali Salman.

  • Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain

    Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain

    Jan 20, 2019 22:02

    Kamati ya watu waliotiwa mbaroni katika Ukanda wa Pwani nchini Bahrain imetangaza kwamba, katika jela ya Jau nchini Bahrain, maafisa usalama wa utawala wa Aal-Khalifa na katika kulipiza kisasi dhidi ya wafungwa wa kesi za uhuru wa kujieleza, wanatekeleza siasa za kuwatesa kwa njaa wafungwa hao.

  • Pembetatu ya kuzua mivutano katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Pembetatu ya kuzua mivutano katika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Jan 18, 2019 23:36

    Katika ripoti yake ya hivi karibuni, shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kuwa hali ya haki za binadamu katika nchi tatu za Saudi Arabia, Imarati na Bahrain ni ya kutisha mno.

  • Bahrain yaendelea kukabiliwa na ukandamizaji wa kisiasa wa utawala wa Aal Khalifa

    Bahrain yaendelea kukabiliwa na ukandamizaji wa kisiasa wa utawala wa Aal Khalifa

    Jan 17, 2019 07:35

    Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umeshadidisha ukandamizaji wake dhidi ya raia wa nchi hiyo katika mwaka huu wa 2019. Katika siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa uongezeko la ukandamizaji wa wananchi ambapo wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamekandamiza kwa mkono wa chuma maandamano ya amani ya wananchi katika mji wa Al Akr kusini mwa mji mkuu Manama.

  • Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Jan 17, 2019 04:14

    Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la kulaani jinai za utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukandamizaji wa serikali ya Manama kwa raia wake.

  • Ripoti: Wafungwa wa kisiasa Bahrain wana hali mbaya

    Ripoti: Wafungwa wa kisiasa Bahrain wana hali mbaya

    Jan 10, 2019 03:44

    Kituo cha Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Bahrain kimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanaharakati wa kutetea haki za binadamu waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS