-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kuachiwa huru Nabeel Rajab
Jan 05, 2019 09:25Farhan Haq msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna utawala wa Aal Khalifa unavyokiuka uhuru wa kiraia huko Bahrain na kutaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Nabeel Rajab Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini humo.
-
Afungwa miaka mitano jela kwa kusema tu Wayemen wanaonewa
Dec 31, 2018 10:07Ikiwa ni kuendeleza dhulma yake isiyo na kifani, utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa wa nchini Bahrain umemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela, mwanaharakati maarufu Nabil Rajab kwa kuandika tu katika mtandao wa Twitter kwamba Wayemen wanadhulumiwa na muungano vamizi wa Saudi Arabia.
-
Baada ya Imarati, Bahrain nayo yafungua tena ubalozi wake Syria
Dec 28, 2018 12:29Serikali ya Bahrain imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kushtadi anga ya kipolisi inayotawala Bahrain sambamba na maadhimisho ya "Siku ya Shahidi"
Dec 17, 2018 04:36Sambamba na kuwadia maadhimisho ya Siku ya Shahidi nchini Bahrain, utawala wa Aal Khalifa umeshadidisha siasa za kipolisi kwa kuzidisha mbinyo nchini humo; na katika anga hiyo tunashuhudia kupamba moto zaidi ukatili na ukandamizaji dhidi ya raia wa nchi hiyo.
-
Serikali mpya ya Bahrain; dhihirisho la nembo kubwa zaidi ya Udikteta
Dec 08, 2018 04:27Baada ya kufanyika uchaguzi wa kimaonyesho wa bunge nchini Bahrain, Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa amemkabidhi tena jukumu la kuunda serikali mpya, mtu yule yule ambaye anajulikana kuwa waziri mkuu pekee katika historia ya nchi hiyo.
-
Kushadidi ukandamizaji nchini Bahrain wakati wa kukaribia uchaguzi wa kimaigizo wa Aal-Khalifa
Nov 21, 2018 10:20Matukio yanayoripotiwa kutoka nchini Bahrain yanabainisha kushadidi anga ya ukandamizaji nchini humo wakati huu wa kukaribia uchaguzi wa kiagizo wa Bunge katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wapinzani wanne wa utawala wa Bahrain kunyongwa
Nov 12, 2018 23:21Mahakama nchini Bahrain imepitisha hukumu ya kunyongwa raia wanne wa nchi hiyo ambao ni wapinzani wa utawala wa kifalme unaoongozwa na ukoo wa Aal Khalifa.
-
Amnesty International yalaani kifungo cha maisha dhidi ya Sheikh Ali Salman
Nov 05, 2018 03:43Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limetoa taarifa likilaani hukumu ya kifungo cha maisha iliyotolewa na watawala wa Bahrain dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya al-Wifaaq.
-
Wimbi jipya la hukumu za vifo na vifungo dhidi ya wapinzani nchini Bahrain
Oct 31, 2018 04:53Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imetoa hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani wawili wa serikali ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na ugaidi. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine 20 hukumu ya vifungo vya baina ya miezi 6 na miaka 25, na wengine 9 wamenyang'anywa uraia.
-
Watoto 30 wanaoshikiliwa na utawala wa Bahrain wadhuriwa na chakula kilichoharibika
Oct 18, 2018 04:24Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kwamba utawala wa Aal-Khalifa umewapa chakula kilichoharibika watoto 30 unaowashikilia katika jela huku wasimamizi wake wakikataa kuwapeleka hospitali kwa ajili ya kuwapatia matibabu.