Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Wabahrain waandamana wakitaka kususiwa uchaguzi

    Wabahrain waandamana wakitaka kususiwa uchaguzi

    Oct 12, 2018 13:21

    Idadi kubwa ya wananchi wa Bahrain leo wamefanya maandamano kuunga mkono uamuzi wa maulamaa wa nchi hiyo waliotaka kususiwa uchaguzi wa kimaonyesho wa utawala wa Aal Khalifa.

  • Kuhitimishwa utawala wa kikabila wa Aal Khalifa ndio njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa Bahrain

    Kuhitimishwa utawala wa kikabila wa Aal Khalifa ndio njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa Bahrain

    Oct 03, 2018 04:00

    Hassan Qambar mwanaharakati wa masuala ya vyombo vya habari amesema kuwa kuhitimishwa utawala wa kikabila wa Aal Khalifa wa Bahrain na kuundwa Baraza la Waasisi kutakuwa suluhisho kwa mgogoro wa sasa na kuondoka katika mkwamo wa kisiasa nchinii humo.

  • Bahram Qassemi: Uingiliaji wa masuala ya nchi nyingine haujawahi kuwa katika siasa za Iran

    Bahram Qassemi: Uingiliaji wa masuala ya nchi nyingine haujawahi kuwa katika siasa za Iran

    Oct 01, 2018 04:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amejibu madai bandia ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain na Imarati waliyoyatoa katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Marekani.

  • Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain

    Ashura ya Imam Hussein (as) yautia hofu na kiwewe utawala wa Aal Khalifa, Bahrain

    Sep 21, 2018 03:16

    Mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini Bahrain amesema, hatua za utawala wa Aal Khalifa za kuwakandamiza wananchi na maulamaa ni ishara ya hofu uliyonayo kutokana na mapambano ya Ashura na taathira yake kwa wananchi wanaoupinga utawala huo.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Sep 14, 2018 10:47

    Idadi kubwa ya Waislamu wa Bahrain leo Ijumaa wamefanya maandamano baada ya Swala ya Ijumaa kandokando ya Msikiti wa Imam Jaafar Sadiq (a.s) wakionyesha uungaji mkono na mshikamano wao kwa Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mtajika wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo.

  • Taasisi ya Haki za Binadamu ya Reprieve: Wabahraini 21 wanakaribia kunyongwa

    Taasisi ya Haki za Binadamu ya Reprieve: Wabahraini 21 wanakaribia kunyongwa

    Sep 06, 2018 03:13

    Taasisi ya Kutetea Haki za Binadamu ya Reprieve jana ilitangaza kuwa Wabahraini 21 ambao wengi ni wafungwa wa kisiasa wanakaribia kunyongwa.

  • Ombi la Bahrain la kuwa mwanachama katika Baraza la Haki za Binadamu la UN; nembo ya jeuri ya Aal Khalifa

    Ombi la Bahrain la kuwa mwanachama katika Baraza la Haki za Binadamu la UN; nembo ya jeuri ya Aal Khalifa

    Sep 04, 2018 22:00

    Utawala wa Bahrain unaotekeleza siasa za ukandamizaji nchini humo umeomba kuwa mwanachama katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • Wananchi wa Bahrain waendelea kupinga siasa za utawala wa Aal Khalifa

    Wananchi wa Bahrain waendelea kupinga siasa za utawala wa Aal Khalifa

    Aug 27, 2018 23:02

    Wananchi wa Bahrain wameendelea kufanya maandamano wakipaza sauti za kupinga siasa za utawala wa kifamilia wa Aal Khalifa.

  • Sisitizo la Jumuiya ya al-Wifaq juu ya kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa, Bahrain

    Sisitizo la Jumuiya ya al-Wifaq juu ya kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa, Bahrain

    Aug 19, 2018 23:24

    Kuendelea siasa za utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa hususan katika kuwashikilia jela wanaharakati wa kisiasa na viongozi wa mwamko wa wananchi, kumeibua malalamiko makubwa miongoni mwa raia wa Bahrain.

  • Kukataa Bahrain wito wa UN wa kuwaachia huru wanaharakati wa haki za binadamu

    Kukataa Bahrain wito wa UN wa kuwaachia huru wanaharakati wa haki za binadamu

    Aug 17, 2018 09:48

    Utawala wa Bahrain umekataa wito wa wataalamu wa Umoja wa Mataifa wa kumwachilia huru Nabil Rajab, mtetezi wa haki za binadamu anayeshikiliwa kwenye jela za utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS