-
Bahrain yapinga ombi la UN la kuachiwa huru mwanaharakati wa haki za binadamu
Aug 17, 2018 03:18Utawala wa kifalme wa Bahrain umepinga ombi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa walioutaka utawala huo umuachie huru Nabil Rajab mwanaharakati wa haki za binadamu aliyeko jela nchini humo.
-
Wananchi wa Bahrain wafanya maandamano makubwa kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa walioko jela
Jul 31, 2018 02:19Wananchi wa Bahrain jana usiku walifanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali nchini humo lengo likiwa ni kuwaunga mkono na kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa na wanazuoni wa kidini wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa.
-
Kusambaratika uchumi wa Bahrain katika kivuli cha utawala wa Aal Khalifa
Jul 30, 2018 06:37Ripoti mbalimbali kutoka nchini Bahrain zinaonyesha kuwa, hali ya uchumi wa nchi hiyo ya Kiarabu inazidi kuwa mbaya chini ya kivuli cha utawala wa Aal Khalifa.
-
Bahrain yawafutia uraia mamia ya wanaharakati wa asasi za kiraia
Jul 28, 2018 03:32Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain umewafutia uraia wanaharakati 738 wa asasi za kiraia wa nchi hiyo.
-
Maandamano ya wananchi wa Bahrain kuonyesha mshikamano na Sheikh Issa Qassim
Jul 23, 2018 03:09Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wameandamana wakionyesha mshikamano wao na Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mtajika wa nchi hiyo.
-
Maandamano Bahrain kutangaza mshikamano na Sheikh Isa Qassim
Jul 20, 2018 09:43Wananchi wa Bahrain leo wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu, Manama, kuonyesha mshikamano wao na mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim anayepata matibabu nje ya nchi
-
Bahrain inazuia watu kumtembelea Sheikh Qassim hospitalini London
Jul 15, 2018 02:55Kiongozi wa chama kimoja cha upinzani cha Bahrain amesema watawala wa Manama wanazuia watu kwenda kumtembelea Sheikh Isa Qassim hospitalini mjini London nchini Uingereza.
-
Sheikh Issa Qassim apelekwa uwanja wa ndege Bahrain ili kusafirishwa nje kwa matibabu
Jul 09, 2018 03:42Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mtajika wa Kiislamu wa nchini Bahrain amepelekwa uwanja wa ndege akiwa katika gari ya wagonjwa ili kusafirishwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
-
Kushikilia Bahrain rekodi ya wafungwa wa kisiasa ulimwenguni
Jul 03, 2018 23:19Jalal Firouz, mbunge wa zamani wa Bahrain na mmoja wa wanaharakati wa masuala ya haki za binadamu wa nchi hiyo amesema, kwa sasa Bahrain ndio inayoshika nafasi ya kwanza ulimwenguni kwa kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa.
-
Haaretz: Bahrain inataka kuanzisha uhusiano wa dhahiri na Israel
Jul 02, 2018 09:55Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeashiria uhusiano wa siri kati ya utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain na utawala ghasibu wa Israel na kufichua kwamba, viongozi wa Manama wanataka kuanzisha uhusiano wa dhahiri na Tel-Aviv.