Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Bahrain, Israel zaongoza kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa duniani

    Bahrain, Israel zaongoza kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa duniani

    Jul 02, 2018 03:21

    Mbunge wa zamani wa Bahrain amesema nchi hiyo ya Kiarabu ndiyo inayoongoza kwa kuwa na wafungwa wengi wa kisiasa duniani.

  • Utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi

    Utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi

    Jul 01, 2018 09:28

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya al Amal ya Bahrain ameeleza kuwa utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi wa nchi hiyo.

  • Bahrain yawakaribisha rasmi wajumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Bahrain yawakaribisha rasmi wajumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jun 18, 2018 02:52

    Afisa mmoja wa Bahrain ametangaza habari ya kushiriki ujumbe mmoja rasmi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa kiutamaduni nchini Bahrain.

  • Utawala wa Bahrain wawahukumu kifo wanazuoni watatu wa Kiislamu

    Utawala wa Bahrain wawahukumu kifo wanazuoni watatu wa Kiislamu

    Jun 17, 2018 10:13

    Mahakama ya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain imetoa hukumu ya adhabu ya kifo dhidi ya wanazuoni watatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia dhidi yao, ikiwa ni muendelezo wa hukumu zisizo za kiuadilifu zinazotolewa na watawala madikteta wa nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Jun 09, 2018 03:39

    Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinapanga njama ya kumuondoa mamlakani Waziri Mkuu wa Bahrain, Khalifa bin Salman Aal-Khalifah.

  • Utawala wa Aal-Khalifa wawazuia wafungwa kushiriki ibada za mwezi wa Ramadhani

    Utawala wa Aal-Khalifa wawazuia wafungwa kushiriki ibada za mwezi wa Ramadhani

    Jun 06, 2018 10:12

    Taasisi ya 'Amani kwa ajili ya Demokrasia na Haki za Binaadamu' nchini Bahrain imetangaza kwamba, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa umewaweka wafungwa wa kisiasa nchini humo katika seli za mtu mmoja kwa kosa la kujumuika pamoja kwenye ibada za mikesha ya Lailatul-Qadr.

  • Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Jun 06, 2018 01:27

    Umetimia mwaka mmoja tokea uanze mgogoro baina ya nchi za Kiarabu na dalili zote zinaonyesha kuwa mgogoro huo ungali unaendelea bali hata utazidi kupanuka na kuwa mbaya zaidi.

  • Mahakama ya Kangaroo Bahrain yawahukumu raia wengine sita kifungo cha maisha jela

    Mahakama ya Kangaroo Bahrain yawahukumu raia wengine sita kifungo cha maisha jela

    Jun 01, 2018 03:13

    Mahakama ya kangaroo ya utawala wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia sita wa Bahrain kwa kisingizio cha kushiriki kwenye machafuko yaliyotokea nchini humo.

  • Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    May 27, 2018 00:13

    Katika hali inayoonekana ni kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zilizoizingira kila upande nchini hiyo, wizara ya uchumi na biashara ya Qatar jana ilipiga marufuku kuhifadhi, kunua na kuuza bidhaa yoyote iliyotengenezwa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, Bahrain na Misri.

  • Amnesty: Ni upuuzi kuwavua uraia Wabahrain 115 katika 'kesi ya umati'

    Amnesty: Ni upuuzi kuwavua uraia Wabahrain 115 katika 'kesi ya umati'

    May 17, 2018 09:42

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua ya hivi karibuni ya Bahrain ya kuwafunga jela na kuwapokonya uraia makumi ya wanaharakati wa kisiasa ambao wanaonekana kuwa wakosoaji wakubwa wa utawala wa Aal-Khalifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS