-
Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq
Oct 21, 2016 13:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasi wasi wake mkubwa baada ya vikosi vya utawala wa Bahrain kuvamia ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq na kusema hatua kama hizo dhidi ya wapinzani ni kosa la kistraitjia.
-
Al-Wefaq: Wabahrain wataendelea kuiunga mkono Palestina
Oct 20, 2016 14:00Chama cha Kiislamu cha al-Wefaq cha Bahrain kimesema hakuna nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo na kusisitiza kuwa wananchi wa Bahrain wataendelea kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Polisi ya Bahrain yatumia mabomu ya kutoa machozi dhidi ya maandamano ya amani
Oct 14, 2016 07:29Polisi ya utawala wa kidikteta nchini Bahrain imetumia mabomu ya kutoa machozi kuzuia maandamano ya amani.
-
Bahrain yawahujumu Mashia wanaoomboleza
Oct 08, 2016 14:14Kwa mara nyingine tena vyombo vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaojumuika katika sehemu mbali mbali kwa ajili ya marasimu ya Ashura.
-
Kushtadi chuki na ghadhabu za wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Oct 08, 2016 12:36Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kuwa mahakama moja ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela kwa maulamaa wawili wa nchi hiyo, Sheikh Fadhil Az-Zaky na Sheikh Muhammad Jawad.
-
Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram
Oct 05, 2016 02:45Sambamba na kuwadia Mfunguo Nne Muharram, habari kutoka Bahrain zinasema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umezidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia na kuwabana katika shughuli zao kidini, hatua ambazo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.
-
Wanazuoni Bahrain wakosoa ukandamizaji dhidi ya Mashia wanaomboleza
Oct 04, 2016 07:59Wanazuoni wakuu wa Kiislamu nchini Bahrain wamelaani ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na watawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehenu ya Shia hususan wakati huu wanapofanya marasimu mbali mbali ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Utawala wa Bahrain waendeleza ukandamizaji dhidi ya raia
Sep 30, 2016 13:04Utawala wa kifalme wa Bahrain umeendelea na hatua zake za ukandamizaji dhidi ya raia wa nchi hiyo licha ya kuweko malalamiko na ukosoaji wa kimataifa dhidi ya hatua hizo ambazo zinakiuka uhuru wa raia.
-
Uingereza inahusika na utesaji wapinzani Bahrain
Sep 30, 2016 07:33Uingereza imetuhumiwa kuwa inahusika na utesaji wa wapinzani unaotekelezwa na utawala wa kiimla nchini Bahrain.
-
Maulamaa wa Bahrain watoa taarifa ya kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Sep 26, 2016 14:17Maulamaa wa Bahrain leo wametoa taarifa yao katika siku ya kumi ya kukusanyika raia wa nchi hiyo mbele ya nyumba ya mwanazuoni huyo wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.