-
Ban Ki-moon: Serikali ya Bahrain iboreshe hali ya mambo nchini humo
Sep 26, 2016 07:49Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bahrain iboreshe suala la haki za binaadamu nchini humo.
-
Askari wa Bahrain washambulia wafuasi wa Sheikh Qassim
Sep 25, 2016 08:23Wanajeshi wa utawala wa kifalme Bahrain wametumia gesi ya kutoa machaozi kuwatawanya wafuasi wa Sheikh Issa Qassim waliokuwa wakiandamana wakitaka arejeshewe uraia wake.
-
Amnesty yailaani Bahrain kwa kuidhinisha marufuku ya al-Wefaq
Sep 23, 2016 14:06Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya mahakama ya Bahrain kudhinisha marufuku ya chama kikuu cha upinzani nchini humo, al-Wefaq.
-
Kesi ya Naibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu la Maulamaa wa Bahrain yaakhirishwa
Sep 22, 2016 04:17Mahakama ya Bahrain imeakhirisha kesi inayomkabili Naibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu la Maulamaa wa nchi hiyo.
-
Bahrain; uwanja wa malalamiko na upinzani dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Sep 12, 2016 15:38Katika siku za karibuni, maeneo mbalimbali ya Bahrain yamekuwa uwanja wa maandamano na mikusanyiko ya wananchi ya kupinga utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa na waungaji mkonio wake wakuu, yaani utawala wa Aal Saud.
-
Utiwaji mbaroni wa kidhalimu waongezeka Bahrain
Sep 12, 2016 02:30Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain kimebainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka utiwaji mbaroni raia kidhulma nchini humo.
-
Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa
Sep 10, 2016 03:25Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
-
Wanafunzi na wanazuoni wa mji wa Qum waandamana kulaani ukandamizaji Bahrain
Sep 07, 2016 04:14Wanafunzi na wanazuoni wa vyuo vikuu vya kidini katika mji wa Qum, kusini mwa mji wa Tehran nchini hapa, wamefanya maandamano kulaani ukandamizaji wa kuchupa mipaka unaofanywa na utawala wa kidikteta nchini Bahrain dhidi ya wananchi wa taifa hilo.
-
Matokeo ya ukandamizaji nchini Bahrain
Sep 07, 2016 04:13Jumuiya mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimeendelea kuukosoa utawala wa Aal Khalifa wa nchini Bahrain na wigo wa ukosoaji huo unazidi kuchukua mkondo mpana siku baada ya siku.
-
Utawala wa Aal Khalifa umeshindwa kudiriki ujumbe wa mwamko wa Wabahrain
Sep 03, 2016 06:57Sheikh Issa Qassim mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Bahrain ametoa ujumbe na kuuonya vikali ukoo wa Aal Khalifa unaotawala nchini humo kuhusu sera zake za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaodhulumiwa nchini humo.