-
Amnesty International yakosoa kukandamizwa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain
Sep 02, 2016 04:16Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa na kulaani ukandamizaji mkubwa unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo.
-
Kamati ya Haki za Binadamu Bahrain yakosoa ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa
Aug 24, 2016 08:04Kamati ya Haki za Binadamu nchini Bahrain imekosoa vikali ukandamizaji wa utawala wa Kifalme wa Aal Khalifa na kutangaza kuwa, utawala huo umekuwa umekuwa ukiwashinikiza wanazuoni wa Kishia nchini humo na kukanyaga haki zao.
-
Kuendelea dhuma dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Aug 22, 2016 03:57Shirika la pamoja la kutetea haki za binadamu na demokrasia la Bahrain na Ujerumani limeripoti kuwa utawala wa Aal Khalifa umewaita kuwasaili maulamaa 70 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
UN yaitaka Bahrain ikomeshe ukandamizaji dhidi ya Mashia
Aug 16, 2016 15:23Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameutaka utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain uache kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia na kusisitiza kuwa dhulma hizo ni ukiukaji wa haki za msingi za binadamu.
-
Wananchi Bahrain waendeleza maandamano dhidi ya serikali
Aug 14, 2016 07:54Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wamekusanyika mbele ya nyumba ya kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Issa Qassim mapema leo kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni huyo wa Kiislamu.
-
Wabahrain waendelea kukusanyika mbele ya nyumba ya Sheikh Issa Qassim
Aug 10, 2016 14:14Wananchi wa Bahrain wanaendelea kukusanyika mbele ya nyumba ya kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Issa Qassim licha ya hali ya hewa ya joto kali iliyoko nchini humo hivi sasa.
-
Shakhsia wa kidini Bahrain wazidi kuswekwa korokoroni
Aug 07, 2016 13:16Polisi ya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain imewatia mbaroni wanazuoni wanne mashuhuri wa Kiislamu, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa dhulma na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Wabahrain waandamana tena kukosoa ukandamizaji wa Aal-Khalifa
Aug 05, 2016 15:06Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain katika kitongoji cha Diraz wamefanya maandaamano baada ya Swala ya Ijumaa kulaani dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Wanaharakati Bahrain: Hatua yoyote dhidi ya Sh. Qassim italeta maafa
Aug 04, 2016 15:05Mwanaharakati mashuhuri wa upinzani na kidini nchini Bahrain ameuonya utawala wa Aal-Khalifa kuwa, hatua yoyote ya kumhujumu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu wa nchi hiyo itakuwa na taathira hasi.
-
Maulamaa wa Bahrain wataka viongozi wa kidini waliotiwa korokoroni waachiliwe huru
Aug 03, 2016 07:17Maulamaa wa Bahrain wametaka shakhsia wa kidini na wa kisiasa wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa waachiliwe huru.