-
Wabahrain waandamana tena kukosoa ukandamizaji wa Aal-Khalifa
Aug 05, 2016 10:36Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain katika kitongoji cha Diraz wamefanya maandaamano baada ya Swala ya Ijumaa kulaani dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Wanaharakati Bahrain: Hatua yoyote dhidi ya Sh. Qassim italeta maafa
Aug 04, 2016 10:35Mwanaharakati mashuhuri wa upinzani na kidini nchini Bahrain ameuonya utawala wa Aal-Khalifa kuwa, hatua yoyote ya kumhujumu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu wa nchi hiyo itakuwa na taathira hasi.
-
Maulamaa wa Bahrain wataka viongozi wa kidini waliotiwa korokoroni waachiliwe huru
Aug 03, 2016 02:47Maulamaa wa Bahrain wametaka shakhsia wa kidini na wa kisiasa wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa waachiliwe huru.
-
Wimbi jipya la utiaji nguvuni wapinzani lashuhudiwa nchini Bahrain
Aug 02, 2016 11:46Vikosi vya utawala wa Aal Khalifa limemtia nguvuni Mkuu wa Baraza la harakati ya al-Wifaq na viongozi wengine kadhaa wa kidini wa nchi hiyo.
-
Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu
Jul 30, 2016 03:40Licha ya makelele ya jamii ya kimataifa na watetezi wa haki za binadamu, utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umemtia nguvuni kiongozi mwingine wa Kiislamu.
-
Wasomi wa Kiislamu Bahrain:Kesi dhidi ya Sh. Qassim ni bandia
Jul 27, 2016 02:57Kundi la wanazuoni wa Kiislamu wa madhehebua ya Shia nchini Bahrain limesema tuhuma dhidi ya msomi mwenzao Ayatullah Sheikh Isa Qassim hazina msingi na kwa mantiki hiyo, kesi inayotazamiwa kuanza hii leo dhidi ya mwanachuoni huyo ni bandia.
-
Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz
Jul 22, 2016 23:37Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na dhulma za utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa, maafisa usalama nchini Bahrain walizuia Swala ya Ijumaa hapo jana sambamba na kuwatia mbaroni watu 50 katika kijiji cha Diraz, kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Iran yakosoa kuvunjwa chama cha al-Wefaq Bahrain
Jul 18, 2016 03:21Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali hatua ya Bahrain ya kuvunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq.
-
Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq
Jul 17, 2016 11:24Mahakama moja nchini Bahrain imekivunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq, mwezi mmoja baada ya serikali ya Manama kusimamisha shughuli za chama hicho.
-
Ukosolewaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain
Jul 17, 2016 03:03Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa ripoti yake ya mwaka 2015 hadi 2016 na kutangaza kuwa, Bahrain imeendelea kushuhudia ukandamizaji wa uhuru wa kutoa maoni, mateso na kuendeshwa kesi za kidhulma sambamba na kutolewa hukumu za kidhalimu dhidi ya wapinzani wa kisiasa katika nchi hiyo inayotawaliwa na mfumo wa Kifalme.